Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,553
Akali Braza isikie tualaa! kumbe na ubitoz wote huo kuogelea nehi!?
Haichagui......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akali Braza isikie tualaa! kumbe na ubitoz wote huo kuogelea nehi!?
Na pale kulivyo na vindege nadhani ulienda kujiliwaza kabisa. Ure wa hai nene Soya.Sabakheri Wadau;
Kama Ushawah Kupata Ajali Mwaga Huku Tukio Lilikuwaje Na Ulipona Vp! NA Umshukuru Mungu!
KWANGU MIMI;
Ilikuwa 2012 Nikienda Kumuona Mzee Kondoa Dodoma! Tulipofika Kijiji Cha Kielema Bas Ilikuwa Mwendokasi! Tairi La Mbele Likapasuka Hvyo Gar Ikapinduka Na Kuegemea Miti Huku Inaangalia Korongon! Ni Kitendo Cha Dakika 2 Tu! Kuna Mzee Alikuwa Siti Ya Mbele Yangu! Baada Ya Ajal Nikajikuta Nimempakata Kwenye Korido La Basi! Tena Analia Mbaya! Hakufa mtu Ila Mlango Ulizibwa Na Mit So Ikabid 2tokee Madirishan Na Kuletewa Bas Jingine! Sitosahau Kwan Ndo Ilikuwa Ajal Yangu Ya Kwanza!!
Funguka Na Wewe Nin Kilikupata?
duuh pole mkuu aiseeIlikuwa tarehe 21 mwezi wa sita mwaka 2014 nilipatwa na ajari ya kondomu kupasuka wakati demu niliyekuwa naye alikuwa nikicheche balaa,nashukuru mungu binti hakuniambukiza ukimwi.