Tuliowahi kupata division zero na four tukutane hapa. Je, tunajuta?

Wazee wa baka bencha mpo (ilininichukua miaka mingi kujua kwamba Ilikua inamaanisha back bench yaani seat ya nyuma 😁😁)...
Ule usemi wa elimu ni ufunguo wa maisha ni uongo mtupu. Elimu ni ufunguo wa maisha kwenye kitasa kilicho badilishwa, huo ufunguo hauwez fungua. Maisha yalisha badilika sana.

Kwenye masha ili kufanikiwa kuna mambo matatu.

1. Bahati au kipaji that is natural blessing
2.Elimu yan uwe na akili ya darasani
3. Bidii ya kazi.

Sasa huwezi kosa vyote hapo. Kama huna akili za darasani basi unatakiwa uwe na bahati ya maisha au uwe na bidii ya kazi ndipo utatoboa, unatakiwa ujitafute ujijue unaangukia wapi kati ya hayo matatu. Na hata ukiwa na akili za darasani bila bidii ya kazi hutoboi.
 
Oy mwaka gn? Me mwenyewe nimemaliza nyakabungo hapo ila sikuwa kilaza kama ww
 
Bro nahisi kabisa Mimi nlipofikia nmeharibu nipo chuo mwaka wa mwisho Ila nmezngua sanaa adi najihoji kichwani ndo Sina akili kiasi hiki, au Ni nn??nlosoma nao advance watastaajabu wakiona au kusikia navyofeli nakaza tu adi mwisho nivune ntakachopata au kutopata chcht kabisa,nyumbani watu wote naowafahamu hamna aliefika level ya chuo kijana wao wananiangalia Ila Hali yangu kitaaluma inasikitisha nafikiri imechangiwa na kusoma course ambayo nliselect kwamba nkifika chuo ntabadili mwisho wa siku nlipofikia chuo ilishindikana ikabidi nikaze tu.. nyumbani njaa Kali Sina ata pa kushika naomba tuwasiliane ili japo niingie kwenye project ako mkuu 0678314888..
 
Kumbe ulizungusha mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mada umesema upo Kigoma na ni mtumishi wa serikali, halafu hapa tena unasema ulipata division zero...JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…