TULIOWAHI KUPATA MISALA HOME TUKUTANE HAPA.

kuku_msela

Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
10
Reaction score
24
Habarini wana jamii forum, kama title inavojieleza.
Tukumbushane misala tuliyowahi kuifanya home halafu ikawa noma sana tukatamani mpaka ardhi ipasuke.

Binafsi nakumbuka misala miwili
Wa kwanza, kuna siku niliazima cd ya porno kwa jamaa yangu, nikategeshea home hamna mtu basi huyo nikakaa zangu na rimoti sebleni nimeangalia wee mpaka mashine ikacheua, ghafla taah umeme ukakatika, nikausubiri kama saa nzima hivi ili nitoe cd lakini wapi, kwa kua nilikua napenda kucheza mpira basi nikaona niachane nao niende uwanjani, nikajikuta me mjanja, nikachomoa nyaya zote za sauti na video nikazificha, danh baadae nimetoka uwanjani nikasema niwahi kwenda kutoa cd, nikakukuta mzee huyo na familia nzima wamekaa sebuleni waangalia cd mpya, nilichomoka kwenda geto kucheki zile nyaya nilizozificha zote zipo, kumbe dingi alikua na zingine chumbani, ilikua balaa sina lile wala hili mzee akaniita chumbani mwake, akanionyesha ile cd, na alijua ni mimi sababu ndiye nilikua mtoto wa kiume halafu mkubwa kuliko wote, aiseh nilichezea miko ya ugali nilipigwa sana nikashindwa hata kumeza mate, yani hadi kufumba na kufumbua kope ilikua kazi.

Msala wa 2, Kuna kipindi serikali ilikua inagawa condoms bure, hasa sie tukawa tunaenda kuziiba, tulikua tunabeba zote mizuka ikipanda hadi box tulikua tunalichukua, tulikua tunazitumia hizo condoms kutengeneza chandimu, ukiiweka ndom ndani basi chandimu kinakua kinadunda utadhani jabulani vile, basi na mpira ulivyokua damuni mi ndio nilikua naongoza kwa kuzibeba hizo condoms.

Msala ulikuja siku moja tulibeba condoms tulizitumia kutengeneza chandimu zikabaki, basi nami nikazisahau kwenye mfuko wa suruali, imepita week kadhaa nishasahu kabisaa, ikatokea trip natakiwa kwenda zenj kwenye harusi ya ndugu yangu, siku zote nguo zangu nilikua nafua mimi lakini siku hiyo nguo zangu alifua dingi, asa katika harakati za kupekua akakutana na micondoms kibao, akaniita,
Nilichezea kichapo aiseh maji nilikua naita mma, mzee alinipiga hadi tochi maana kwa umri ule hata ndom zilikua hazinitoshi alidhani huenda nilikua naliwa dodo.
Nakumbuka zile nguo alimalizia kufua house girl, badala ya kwenda safari nikaenda hospitali.
Nikikumbuka hua nacheka sana, maana kipindi kile lilikua bonge la msala lakini sasahivi ni kama vitu vya kawaida sana.
 
Me misala ya kula beki 3 ..nilikuwa nawala adi mzee ilibd aniamishe kidgo , maana kila wakisajili mm napita[emoji41][emoji41]
 
Haya form four on fireee aisee rutakoma humu ndaaaaaniii
 
Kiukweli asubuhi hii siko powa, lakini kwa trend ya Uzi huu, naamini hii siku itaisha powa!
 
Hahaa daah aisee unenikumbusha siku moja nimeenda kumtembelea sister wangu flani hiv kaolewa sehem bas ndan akawa anaishi na ndugu wa mume wake daah demu alikua mzur huyo si mchezo bas nikasema hapa siondok had kieleweke
Bas nikawa namchomekea mtoto kaelewa nikasema yess nitajilia tunda kimya kimya ndan ikawa kila girl akiingia ndan room namfata tunaanza kuamsha amsha dude
Bas ile tunajikuta tupo ktk pirika za kugegedana mtoto nishaondoa sidiria nanyonya ziwa mara paaap dada kaingia dada kaingia chumbani mlango tulisahau hata kufunga aisee
Nilichanganyikiwa nikajikuta salamu inanitoka tu wakat nishamsalimia sister tangia asubuh
Yaan nilipatwa na kahoma si mchezo kwa hofu ya kuja kuambiwa shemeg aised haikuchkua mda nilisepa fasta ila nashkuru hakumuambia mumewe had leo just aliliweka tu rohon ila tangia sku hio alijua mi si mtu wa kuchezea [emoji23][emoji23]
 
Mi siku hiyo wageni walikuja hom!huyo mmoja alikuwa manzi mkali balaa mi bado chalii.nikamuona anenda kuonga nikaona ngoja nizame chumba cha wageni chini ya uvungu nimle kideo.
Daahh dem kaingia kavua kila kitu anajipaka mafuta mnara wangu umesimama balaa si nikaanza kuhangaika huko uvunguni maana nililala na tumbo!akashktuka bana akapiga yowe msela ikabidi nitoke nimtulize aahh wapi kelele zimezidi nikatoka baruti kufika sebleni maza na watu wengine wanaelekea nnapotokea!daahh nilitoka mbio maza ananiita weee mbona unakimbia.nilirudi homu alfajiri naingia kimachale na kutoka kimachale kama wiki hivi sikuwa naonekana maskani.
Hio ingine michezo ya kitoto bana kaka na dada nimekibananisha kitoto cha watu nakigonga kumbe maza amesimama nyuma yupo na sista mkubwa wananiangalia msela nachomeka kibamia kinatoka hadi jasho linanitoka.siku hiyo nilichapwwa na mpira wa maji hadi ukaisha!
 

I love this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…