kuku_msela
Member
- Jun 12, 2017
- 10
- 24
Habarini wana jamii forum, kama title inavojieleza.
Tukumbushane misala tuliyowahi kuifanya home halafu ikawa noma sana tukatamani mpaka ardhi ipasuke.
Binafsi nakumbuka misala miwili
Wa kwanza, kuna siku niliazima cd ya porno kwa jamaa yangu, nikategeshea home hamna mtu basi huyo nikakaa zangu na rimoti sebleni nimeangalia wee mpaka mashine ikacheua, ghafla taah umeme ukakatika, nikausubiri kama saa nzima hivi ili nitoe cd lakini wapi, kwa kua nilikua napenda kucheza mpira basi nikaona niachane nao niende uwanjani, nikajikuta me mjanja, nikachomoa nyaya zote za sauti na video nikazificha, danh baadae nimetoka uwanjani nikasema niwahi kwenda kutoa cd, nikakukuta mzee huyo na familia nzima wamekaa sebuleni waangalia cd mpya, nilichomoka kwenda geto kucheki zile nyaya nilizozificha zote zipo, kumbe dingi alikua na zingine chumbani, ilikua balaa sina lile wala hili mzee akaniita chumbani mwake, akanionyesha ile cd, na alijua ni mimi sababu ndiye nilikua mtoto wa kiume halafu mkubwa kuliko wote, aiseh nilichezea miko ya ugali nilipigwa sana nikashindwa hata kumeza mate, yani hadi kufumba na kufumbua kope ilikua kazi.
Msala wa 2, Kuna kipindi serikali ilikua inagawa condoms bure, hasa sie tukawa tunaenda kuziiba, tulikua tunabeba zote mizuka ikipanda hadi box tulikua tunalichukua, tulikua tunazitumia hizo condoms kutengeneza chandimu, ukiiweka ndom ndani basi chandimu kinakua kinadunda utadhani jabulani vile, basi na mpira ulivyokua damuni mi ndio nilikua naongoza kwa kuzibeba hizo condoms.
Msala ulikuja siku moja tulibeba condoms tulizitumia kutengeneza chandimu zikabaki, basi nami nikazisahau kwenye mfuko wa suruali, imepita week kadhaa nishasahu kabisaa, ikatokea trip natakiwa kwenda zenj kwenye harusi ya ndugu yangu, siku zote nguo zangu nilikua nafua mimi lakini siku hiyo nguo zangu alifua dingi, asa katika harakati za kupekua akakutana na micondoms kibao, akaniita,
Nilichezea kichapo aiseh maji nilikua naita mma, mzee alinipiga hadi tochi maana kwa umri ule hata ndom zilikua hazinitoshi alidhani huenda nilikua naliwa dodo.
Nakumbuka zile nguo alimalizia kufua house girl, badala ya kwenda safari nikaenda hospitali.
Nikikumbuka hua nacheka sana, maana kipindi kile lilikua bonge la msala lakini sasahivi ni kama vitu vya kawaida sana.