Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Nilikuwa nakaanga mayai 10 kila siku.
Nikienda bar. Mbuzi choma ya 10,000.
Kuhonga sasa.kuvaa usiseme.
Mara ya mwisho Naenda ATM. Kuna 4,500..
Nilikuwa mdogo.ila HeLa za kukinga tu hazina Baraka
Mtu ukirithi kilahalali pesa zake hazina shida, uafrika wetu ndio unaotuponza, mali za urithi watu wengi huzibugia hovyo hovyo kwa sababu hawazitokea jasho. Mwishoe utawasikia wakijifariji marehemu huondoka na mali zao, ila ukiangalia waasia, wazungu etc mali hizo hizo za urithi hutumika vizazi na vizazi, au ni marehemu wa kiafrika ndio wanaondoka na mali zao tu!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu ukiwa na pesa kwenye account ATM huwa slow kidogo, ukiwa huna pesa kwenye account hata kujamaliza kuandika password tayari kadi isharudishwa kwamba hakuna hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliuza nyumba ya marehenu babu pale kariakoo karibu na faya wajukuu mgao 50ml nakumbuka terminal one lile jengo jekundu na mabenchi tuu.

Nshawai kwenda zenji me na rubani tuu ile company ya costar kama skosei 2000 hiyo

Viduka vya pamba town vilikua vinanijua maaana nikiwa dukani jua wauzaji hata aje AY hawamsikilizi

Nshaenda graduu pale zanaki nikasababisha graduu iharibike coz vurugu kubwa ilitokea mana watoto wote wazuri walikuja nilipokaaa kila mtu anataka nimjue masela wa Azaboy sindio wakamaind kilinuka balaaaaa

Ndio tupo kwenye vikao vya mwisho hapa kumalizia na hii tunakaa maana tumepauka safari hii akili kumkichwa!



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hela usiyoitolea jasho sikuzote mataumizi yake hayana uchungu ndani yake kabisa, hilo ndio tatizo linalokukumbeni. na ndomana munapopata pesa kwa mabwana huwa mnazitafuna tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…