Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Nilipewaga dola 100 zamani sana na danga limoja hivi aiseee kwa kipindi kile ilikua ela nzuri nikaja nikaila bila kuelewa imepita wap

Nikaja kupewa tena mil1 na hilo hilo danga zamani kidogo nayo haikufanya la maana

Nikaja nikapata danga lingine likanipa m2 nazo nimefanyia kazi haikuzaaa

Tangu wakati huo miaka imepita sitaki tena hela za madanga, nimeolewa na ninatafuta hela kihalali.

Msiwashangae kina Wema hela za kudanga hata upewe bil 1 huwa zinayeyuka.
Wapo wanawake wameweza kutumia papuchi zao na kuweka maosha kwenye mstari vizuri tuu. Wengi ya warembo wanajiasahau wakidhani uzuri wao utadumu...vya utamu vinazaliwa vingi.
 
nilioteaga million 3 sehem fulan(kiujanja ujanja)

KOSA.mademu walikuw wakinisifia sifia ujinga na mm kichwa hichooo.
ikawa n bata na mm mim na bata ,

ASUBUH tuu ,text kama 8 za mademu hasa maslayqueen.

nilikuja kuishiwa kifala sana hata wale mademu wakawa wananikwepa [emoji1][emoji1]nikiwapigia c utasikia halloo sikusikii vizur mic mbov

ila mademu wasenge sana fikiria kipind nna mkwanja walikuw wananiita baby baada ya kuishiwa wakantania et billionaire mambo.

niliingia machimbon nikabahatisha m6.8 aseeee kichwa kiliwaka moto[emoji3][emoji3] sema ishu za madem niliachana nazo wakashangaa nmerud kuw smart tena .

ila pesa bana.
NB: katika Hustler zangu zote wimbo wa mr blue PESA ndo ulikuw the best kwangu ndo maana uwa hauchuji kwangu
Bilionea mambo[emoji1787][emoji1787]
 
hiyo ilinitokea miaka fulani ya 2013-2016 nilikuwa nafanya kazi kwa wachina, zile pesa za wizi ni kama maruhani nilizinywea sana mno ukizingatia enzi ya JK mabosi walikuwa wanakuja kutumia pesa za ufisadi, kasheshe alipoingia jamaa ndio nikapunguzwa sitakaa nisahau hata mia 200 ya kununua wanzuki ilinipitia kushoto na rasmi nikawa mlevi wa gongo
Msela ulikosa hata heka ya WANZUKI!
 
Acha nikae kimya tu. Kukumbushana machungu sio jambo zuri kabisa
Leta stori mkuu tuelimike na kuburudika. Japo kama alivyosema mdau mmoja, hata uhubiriwe vipi, siku ukizikamata hela za ghafla mipango yote inayeyuka utakuja kuikumbuka hela ikishaisha
 
Msimchokoze huyu jamaa aise
JamiiForums764709745.jpg
 
nilioteaga million 3 sehem fulan(kiujanja ujanja)

KOSA.mademu walikuw wakinisifia sifia ujinga na mm kichwa hichooo.
ikawa n bata na mm mim na bata ,

ASUBUH tuu ,text kama 8 za mademu hasa maslayqueen.

nilikuja kuishiwa kifala sana hata wale mademu wakawa wananikwepa [emoji1][emoji1]nikiwapigia c utasikia halloo sikusikii vizur mic mbov

ila mademu wasenge sana fikiria kipind nna mkwanja walikuw wananiita baby baada ya kuishiwa wakantania et billionaire mambo.

niliingia machimbon nikabahatisha m6.8 aseeee kichwa kiliwaka moto[emoji3][emoji3] sema ishu za madem niliachana nazo wakashangaa nmerud kuw smart tena .

ila pesa bana.
NB: katika Hustler zangu zote wimbo wa mr blue PESA ndo ulikuw the best kwangu ndo maana uwa hauchuji kwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hapo kwenye mic mbovu nimecheka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliuza nyumba ya marehenu babu pale kariakoo karibu na faya wajukuu mgao 50ml nakumbuka terminal one lile jengo jekundu na mabenchi tuu.

Nshawai kwenda zenji me na rubani tuu ile company ya costar kama skosei 2000 hiyo

Viduka vya pamba town vilikua vinanijua maaana nikiwa dukani jua wauzaji hata aje AY hawamsikilizi

Nshaenda graduu pale zanaki nikasababisha graduu iharibike coz vurugu kubwa ilitokea mana watoto wote wazuri walikuja nilipokaaa kila mtu anataka nimjue masela wa Azaboy sindio wakamaind kilinuka balaaaaa

Ndio tupo kwenye vikao vya mwisho hapa kumalizia na hii tunakaa maana tumepauka safari hii akili kumkichwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu mshaisukuma hiyo mnayokaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom