Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

huko nje huwa mnaende kutafuta nini.....maana ni wengi wakipata hela mara dubai, uk, usa au south....tufungueni macho
We unasema nchi za nje?? Kuna mwamba hapa anasema alienda Zanzibar akakodisha kandege ka Coastal Aviation yeye na rubani tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tena kwa hela ya kuuza nyumba ya urithi wa babuyake

Kuna watu wamepinda aisee
 
We unasema nchi za nje?? Kuna mwamba hapa anasema alienda Zanzibar akakodisha kandege ka Coastal Aviation yeye na rubani tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tena kwa hela ya kuuza nyumba ya urithi wa babuyake

Kuna watu wamepinda aisee
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Watu wanakula raha maisha mafupi haya!
 
Mkuu sio mbaya kama uligegeda mpaka shangazi Eze. Narudia tena, Sio mbaya
 

Swadakta
 
Respect
 
Huyu ni mimi kabisa
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hayo yote ilikuwa course,na bado course haujaisha mpka siku unazimika
 
Bila shaka hiyo Company ni Serengeti
 

Mkuu pesa za riba uwe unatoa au kupokea hazijawah mwacha mtu salama hata upate kiasi gani zitakuja kukudhalilisha tu at the end[/QUOTE]Mbona bank hazifi?
 
Hana maarifa ya kuendesha biashara na hua hashauriki.. anapenda kutafuta na kuzitumia. Anawekeza zaidi kwenye kumiliki ardhi
Huyu ni mzee wangu mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole
Pole sana mkuu. Naomba nikupe ushauri huu kama utaufuata utakusaidia kwa kiasi.usikusanye pesa ili iww nyingi ndo uanze ujenzi bali fanya kuwekesha vitu.namaanisha ukipata hata elfu hamsini tafuta hardware ambayo iko karibu na site kwako anza kuwekesha kama ni cement au nondo au site ya matofali wekesha pale anakuandikia risit kuwa umelipa ila hujachukua mzigo, ukiona umepata tofali,nondo na cement tafuta hela ya mchanga na mawe kama unajengea na mawe thn malizia kwa kutafuta hela ya fundi, sio lazima umalize nyumba nzima.unaweza anza na msingi ukatulia kutafuta hela ya kupandisha nyumba ambapo inahitaji tofali, cemet mchanga na hela ya fundi.

Narudia tena usisubiri hela kuwa nyingi ndio uanze ujenzi hyo kidogo kidogo wekesha vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…