Huh!! Na nakudai keki[emoji2297]
Unanikumbusha machungu siyo?[emoji18]Huh!! Na nakudai keki[emoji2297]
We subiri nikamate pesa.
Yap! Niliipata kimazabe sihitaji kuizungumzia sana, ila ilinitoka hivyo hivyo kama mm nivyoipata. Nilipigwa mkuu, zaidi ya b1.9 kuna kazi hiyo pesa ni ndogo sana na unaweza kuwa nayo na bado mfukoni usiwe na kitu, pesa inazunguka, sasa apo kwenye kuzunguka hapo, kuna kifo, dhulma ama utoboe mazima japo chance ya kutoboa mazima ni ndogo mno sababu maadui ni wengi hasa usiowajua..ndani ya saa 1 tu nilibaki kapuku mpaka hivi.Million 2000?
Boss kwenye unga na mafuta pesa hazipotei kizembe Ila apo kwenye madini na casino aisee ni balaa watu wanafilisika kama vichaa DK sifuri Tu mtu ukipata pesa na ukaweza kuchakata mbumbusu Kwa kiasii au kucheza kamari Kwa kiasi Una asilimia 80 za kutofilisika1. Casino
2. Madini
3. Mafuta!
4. Unga
Kwenye hayo mambo 4,huwezi kosa moja wapo! Kuna watu wanakopa 2B per day,na jioni wanairudisha! Wanafanya business kwenye mafuta!
Ndo 50m fedha za Kitanzania itumike kumgegeda??wapo mkuu tembelea serena na kempinski unajua kyln ni demu wa class hizo kuna demu flani yuko tanesco pini ile mbaya inasomeshewa mtoto uingereza na danga acha mkuu watu wanajua kuhonga
Daaah asikwambie mtu
bhaasi ndugu zangu kuna mradi nilianza kusimamia nikiwa kama msimamizi,mnunuzi wa materials na mlipaji back in 2018 august mpka june 2020 zilipita katika account yangu na zikapita mikononi mwangu karibu bilioni 2 😁
😁😁 nzuri zaidi nilikua naaminika sana,nilipokua nawekewa pesa zain ya milioni 100 at once nikisema zimeisha sikuwahi kuulizwa nimetumiaje
Mwacheni shetani tu anizingue coz those days alinisisitiza sana sana nijiongeze lkn akili ilikua haitaki kabisa.now ni zaidi ya kapuku ninaeomba kila siku siku zirudi nyuma na nifanye kile shetani alichonisisitiza.
nahitaji maombi
Bavicha buana hahahaha mna dharau sanainawezekanaje mil 4 ionekane ni hela ya mtu kufirisika , mbona ni ndogo sana ?
Hii sredi ilipaswa iwe na comment milioni 1 sababu nidarasa tosha sana kwenye maisha Ila raia wanapenda kuchakatana, pombe , starehe huwezi wakuta hapaUkiwa na hela hii thread unaiona ya kiwaki saaana unasoma kichwa cha habari tu kisha unaachana nayo unahamia kwa kina rikiboy kwenda kuona wenzio jinsi walivyokula kimasihara.
Baada ya kufilisika sasa yaani unaoina ni bonge moja la thread kuliko nyuzi zote humu jamvini, unapitia comments moja baada ya nyingine mpaka ya mwisho bila kuruka hata comment moja.
mkuu iyo mbona kawaida sana hawa wadada zetu wanaoendaga Dubai utakuta kuna doni limemtia kama milioni 40 hivi anaambiwa tangulia Dubai mi nakuja baada ya wiki moja kukuchakata usione wanapishana airport pigo zao ndio hizoNdo 50m fedha za Kitanzania itumike kumgegeda??
Watakuja kusimulia hapa.. sisi tulionyeshewa na mvua ndo tupo tumetuliaHii sredi ilipaswa iwe na comment milioni 1 sababu nidarasa tosha sana kwenye maisha Ila raia wanapenda kuchakatana, pombe , starehe huwezi wakuta hapa
Sawa bro. So unataka kuniambia tukomae na halal zetu, dhuluma mbaya?Yap! Niliipata kimazabe sihitaji kuizungumzia sana, ila ilinitoka hivyo hivyo kama mm nivyoipata. Nilipigwa mkuu, zaidi ya b1.9 kuna kazi hiyo pesa ni ndogo sana na unaweza kuwa nayo na bado mfukoni usiwe na kitu, pesa inazunguka, sasa apo kwenye kuzunguka hapo, kuna kifo, dhulma ama utoboe mazima japo chance ya kutoboa mazima ni ndogo mno sababu maadui ni wengi hasa usiowajua..ndani ya saa 1 tu nilibaki kapuku mpaka hivi. Sijutii sana sababu naamini ilippaswa tu kuwa hivyo.
Do at ur own risk[emoji16]if the money you have can't solve the problem you have ..!EAT THAT MONEY[emoji3]
[emoji3][emoji3]
Jamaa hii figure ame-exaggerate sana ila never underestimate a man's stupidity when his judgement is clouded by a p-sleeve (mbunye).Ndo 50m fedha za Kitanzania itumike kumgegeda??
I mean yeah lakini sio papuchi ya kibongo aisee hata kama ni celeb kiasi gani..Jamaa hii figure ame-exaggerate sana ila never underestimate a man's stupidity when his judgement is clouded by a p-sleeve (mbunye).
mkuu ukitoboa mbona kawaida sana tembea tembea uone watu wanachezea hela sana nenda siku moja casino sea cliff mule ndani kuingia bure ukajioneeI mean yeah lakini sio papuchi ya kibongo aisee hata kama ni celeb kiasi gani..
Tajiri yetu wa JF Kiduku Lilo apitie hapa isijetokea siku tukamkuta nae anapanda guta badala ya Range rover...
Yamkute mara ngapi?mke kamkimbia wahindi wamemfukuza kazi ameenda iringa kudalalia mbao.Tajiri yetu wa JF Kiduku Lilo apitie hapa isijetokea siku tukamkuta nae anapanda guta badala ya Range rover...