Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Million 2000?
Yap! Niliipata kimazabe sihitaji kuizungumzia sana, ila ilinitoka hivyo hivyo kama mm nivyoipata. Nilipigwa mkuu, zaidi ya b1.9 kuna kazi hiyo pesa ni ndogo sana na unaweza kuwa nayo na bado mfukoni usiwe na kitu, pesa inazunguka, sasa apo kwenye kuzunguka hapo, kuna kifo, dhulma ama utoboe mazima japo chance ya kutoboa mazima ni ndogo mno sababu maadui ni wengi hasa usiowajua..ndani ya saa 1 tu nilibaki kapuku mpaka hivi.

Sijutii sana sababu naamini ilippaswa tu kuwa hivyo.
 
1. Casino
2. Madini
3. Mafuta!
4. Unga

Kwenye hayo mambo 4,huwezi kosa moja wapo! Kuna watu wanakopa 2B per day,na jioni wanairudisha! Wanafanya business kwenye mafuta!
Boss kwenye unga na mafuta pesa hazipotei kizembe Ila apo kwenye madini na casino aisee ni balaa watu wanafilisika kama vichaa DK sifuri Tu mtu ukipata pesa na ukaweza kuchakata mbumbusu Kwa kiasii au kucheza kamari Kwa kiasi Una asilimia 80 za kutofilisika
 
wapo mkuu tembelea serena na kempinski unajua kyln ni demu wa class hizo kuna demu flani yuko tanesco pini ile mbaya inasomeshewa mtoto uingereza na danga acha mkuu watu wanajua kuhonga
Ndo 50m fedha za Kitanzania itumike kumgegeda??
 
Daaah asikwambie mtu
bhaasi ndugu zangu kuna mradi nilianza kusimamia nikiwa kama msimamizi,mnunuzi wa materials na mlipaji back in 2018 august mpka june 2020 zilipita katika account yangu na zikapita mikononi mwangu karibu bilioni 2 😁
😁😁 nzuri zaidi nilikua naaminika sana,nilipokua nawekewa pesa zain ya milioni 100 at once nikisema zimeisha sikuwahi kuulizwa nimetumiaje
Mwacheni shetani tu anizingue coz those days alinisisitiza sana sana nijiongeze lkn akili ilikua haitaki kabisa.now ni zaidi ya kapuku ninaeomba kila siku siku zirudi nyuma na nifanye kile shetani alichonisisitiza.
nahitaji maombi

Yaani unatamani kuiba? Ulifanya jambo jema kuwa mwaminifu kuiba sio halali yako..
 
Ukiwa na hela hii thread unaiona ya kiwaki saaana unasoma kichwa cha habari tu kisha unaachana nayo unahamia kwa kina rikiboy kwenda kuona wenzio jinsi walivyokula kimasihara.
Baada ya kufilisika sasa yaani unaoina ni bonge moja la thread kuliko nyuzi zote humu jamvini, unapitia comments moja baada ya nyingine mpaka ya mwisho bila kuruka hata comment moja.
 
Ukiwa na hela hii thread unaiona ya kiwaki saaana unasoma kichwa cha habari tu kisha unaachana nayo unahamia kwa kina rikiboy kwenda kuona wenzio jinsi walivyokula kimasihara.
Baada ya kufilisika sasa yaani unaoina ni bonge moja la thread kuliko nyuzi zote humu jamvini, unapitia comments moja baada ya nyingine mpaka ya mwisho bila kuruka hata comment moja.
Hii sredi ilipaswa iwe na comment milioni 1 sababu nidarasa tosha sana kwenye maisha Ila raia wanapenda kuchakatana, pombe , starehe huwezi wakuta hapa
 
Nachukua Coupon I will be back nisome kila comment humu page zote #888
 
Hii sredi ilipaswa iwe na comment milioni 1 sababu nidarasa tosha sana kwenye maisha Ila raia wanapenda kuchakatana, pombe , starehe huwezi wakuta hapa
Watakuja kusimulia hapa.. sisi tulionyeshewa na mvua ndo tupo tumetulia
 
Yap! Niliipata kimazabe sihitaji kuizungumzia sana, ila ilinitoka hivyo hivyo kama mm nivyoipata. Nilipigwa mkuu, zaidi ya b1.9 kuna kazi hiyo pesa ni ndogo sana na unaweza kuwa nayo na bado mfukoni usiwe na kitu, pesa inazunguka, sasa apo kwenye kuzunguka hapo, kuna kifo, dhulma ama utoboe mazima japo chance ya kutoboa mazima ni ndogo mno sababu maadui ni wengi hasa usiowajua..ndani ya saa 1 tu nilibaki kapuku mpaka hivi. Sijutii sana sababu naamini ilippaswa tu kuwa hivyo.
Sawa bro. So unataka kuniambia tukomae na halal zetu, dhuluma mbaya?
 
Jamaa hii figure ame-exaggerate sana ila never underestimate a man's stupidity when his judgement is clouded by a p-sleeve (mbunye).
I mean yeah lakini sio papuchi ya kibongo aisee hata kama ni celeb kiasi gani..
 
Back
Top Bottom