Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

FAIDA katika biashara SIO RIBA...Yaani hata kama utanunua kitu kwa sh 100 na ukakiuza kwa milioni 1...ile laki 9 na 99 mia 9 na 90 HAIWI RIBA ..ni FAIDA na ni HALALI kwako...RIBA huja pale unapokoka sh 100 halafu ukaambiwa urudishe Sh 110...hili ongezeko la sh 10 ndio RIBA ..na INA LAANA hata kama ni NDOGO katika macho yako.
 
Nawashukuru wachangiaji wote waliotoa historia za changamoto walizokutana nazo kwenye utafutaji ,hakika mmetupa fundisho kubwa.Na ni mara ya kwanza kusoma nyuzi ndefu kama hii humu JF....inabirudisha,inafundisha na inahuzunisha pia inatufundisha kuwa tujifunze kupitia makosa ya wengine.Nawaombea kwa Mungu ,awape nguvu na awanyanyue tena kimaisha. Amina...Kikubwa msikate tamaa kwenye rehema za Mungu . Madhali uhai tunao basi tuendelee tu kupambana.

Salute sana.!!!
 
Pamoja na kuropoka umu kumbe una mzigo wa madeni[emoji1][emoji1][emoji1][/QUOTE. Kawaida hiyo

Kama una kula na kulala kwa shemeji yako huwezi jua maana ya madeni ni nini
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndio maana mimi nakomaa na tudemu twa 30 na msosi 20. huwezi kukuta nafilisika
Naaam unasomeka vyema kabisa.


Vi demu vya hivi hata hauoni kama umetoa hela wakati wao wanajua unawapenda sana ndo maana unawatumia hela nyingi kama elf 30.
 
Huu uzi ni very interesting.!

Maisha yana milima na mabonde.! Miaka ya 2014- 18 nilikua na pesa nzuri kula sana bata na totoz hapo dsm na company yakutosha. Enzi hizo ni mwendo wa Hennessy, Green label, MOET, JD etc.

Maisha yamenipiga kofi nimerudi zangu mkoani kujipanga upya, nakumbuka pesa nilizochezea kipindi hicho kama ningekua na akiri ya biashara ningekua mbali sana.! Saivi ni mwendo wa kvant, konyagi au prisner ya buku.

Ila nimejifunza mengi na kujua wapi nilikosea (ujana na ulimbukeni ulichangia), kuna investments nafanya najua zikianza kulipa ntakua njema sana kuzidi hata awali Mungu asaidie.!

Mwanaume kwenye maisha ni kupambana tu hamna kukata tamaa, anguka, inuka futa vumbi songa mbele.
 
Fedha fedhea inakuaminisha kuwa wewe ndio wewe wengine ni kama mfano wa watu,tumia pesa ikuzoee
 

Mkuu ulipata ngapi?
 

Kafie mbele huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…