Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Aisee noma.sanaa[emoji3][emoji3]
 
kuna dem wangu alikua mkoa mwingine bas skuhyo karudi na vihela akataka tukatembee mwanza tukaenda ila alikua na mawenge sana na hela zake nikazila zila nikabahatika kumchomoa 3m nikasepa zangu na sidhani hata kama alibakiwa na nauli
 
siku moja nilienda premier bet nikakaa kuna kidem nlikua nakifuatilia bas nilienda na 10k yangu 2k nikanunua tiketi ya kuchezea kwenye tablet nikawa nacheza mia mia nikivuta muda shift ya mtoto mzur ifike.

ile 2k ikazaa 30k jumla nkawa na 38k nikanunua soda bas mtoto mzur akaja naye akala soda. 7k nzima nikaiweka tena kwenye token za tablet nkawa nacheza mpka jero jero nkashindua 30k bas nkahamia kwenye spin ya screen kubwa pale mchezo ni kuanzia 500 bas nkaweka weka kuna mida 0 ikanipa hela mara mbili mfululizo kwa 500 unapata 18000 bas nikaanza kuvimba muda si muda nkaweka tena 26,0,32 basi 32 wa 2k akanipa 72k dah nikaona mambo ndo haya huku mtoto mzuri kila nikila nampa 5k au 2k inategemea nimeshinduaje.

mpka natoka premier bet pale nimekula msosi mzuri vinywaji na mtoto nimempa kama 30k hivi bas nkapiga hesabu nina kama 230k nikampanga mtoto mzur akitoka saa nne usiku anicheki tukaendelee kuenjoy.

Sasa nimetoka pale kufika geto ile hela nikaanza kuipangia mipango nkajikuta imeisha nkiwaza nina ahadi ya mtoto mzuri dah nkachukua 50k nkaibana mida ikafika kanicheki nkamchukua nkampaki geto nkakusanya mazaga zaga ya kula madompo konyagi na mabhange mengii tukakaa nje ya nyumba tukaanza kula mambo mpka saa saba mtoto kadata hajiwez tukazama ndani hapo ndo nlipokosea maana nimeamka asubuh nkamfungia asieondoke bas ile hela yote niliopanga mipango yangu nikajikuta naila na mtoto mzur ni mwendo wa ngono kula na pombe mixer bhange siku nne tu kahela kushney na hapo ndo nkamrudisha kwao siku naenda pale bet tena naambiwa kasimamishwa kazi nkasepa sikurud tena nkahama na shop[emoji41]
 
Wew ni muhindi!?
 
Daaah..pole sana jamaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi kuna uhusiano gani Kati ya kukosa pesa na njaa?..
Maana ukiwa na pesa hata njaa husikii.

Ila uwe huna pesa sasa!!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Pesa ni silaha, ukiwa nayo njaa njaa haziwezi kukusogelea maana zinajua utaziadhibu vikali,

lakini kama pesa hakuna😂😂 njaa zinakufata kwa fujo maana zinajua hauwezi kuzifanya chochote,, ni kama wale Nzi wadogo wanaozungukiaga Karibu na sikio,, ukiwa una Mikono unaweza kuwafukuza,, ila kwa asiye na Mikono atakubali tu😂😂😂
 
Hivi kuna uhusiano gani Kati ya kukosa pesa na njaa?..
Maana ukiwa na pesa hata njaa husikii.

Ila uwe huna pesa sasa!!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Pesa ni silaha, ukiwa nayo njaa njaa haziwezi kukusogelea maana zinajua utaziadhibu vikali,

lakini kama pesa hakuna😂😂 njaa zinakufata kwa fujo maana zinajua hauwezi kuzifanya chochote,, ni kama wale Nzi wadogo wanaozungukiaga Karibu na sikio,, ukiwa una Mikono unaweza kuwafukuza,, ila kwa asiye na Mikono atakubali tu
 
Ukiona mke na watoto walimtenga huyo alitumia pesa peke yake bila kuwagawia watoto na mke wake, kama angewapa mgao watoto na Mama yao wala hasinge teseka kwa kutengwa.
 
Nakubali
 
Jamanii Pesaa ya BUMUU sio pesaa.. yaani unapewa kilaki 6 ndani ya week hujahonga hata.. Pesaa hunaa...!! Unaanza kushindiaa mikatee..Ivii mshahara unawezaje kutosha..!??? Discipline ya helaa wanayo wachache snaa

Kuna mwanangu mmoja hivi tulimaliza naye adavance,bahati nzuri tukakutana tena chuo udsm,ni chalii ya manyara babati huko,yule jamaa ana balaa,kwanza picha linaanza viatu vyake anavyovaa chuo ni vya advance,mwana mnapata boom wote ila nyie zenu zinakata zoote yeye bado anazo kama asilimia 95 hv ya hela zote..yule jamaa saluti sana anajua sana kumanage hela asee..

Hajawahi kuwa na demu,hali cafetaria ye zake ni wali maharage nje huko,maji anadownload kama kawa[emoji23][emoji23][emoji23]dah yule jamaa alikuwa ananiacha hoi sana..akati kuna mwanangu mwingine yeye ni jangwani sea breeze na yeye kila ijumaa,juis ya parachichi nzito na misosi ya cafetaria 1,mbona mwana alidisco[emoji23][emoji23]ni dereva bajaji leo town hapa

All in all UBAHIRI NDIO SIRI YA UTAJIRI.
 
Kuna time mwaka 2014 nilipambana nikajikuta nimetengeneza kama million 85 hivi nikiwa na Miata 26 tu! Wow!

Baada ya kuupata pesa nikapaparika nikakosa utulivu... Nikataka kuzidouble zile pesa kwa haraka, nikapewa fursa ya biashara Mona nikaingia mzima. Kilichofuata Hadi 2015 nilikuwa na madeni ya million 6 na Sina hata mia mfukoni.

Nikajikaza na kupambana tena Hadi leo kwenye account nna Million 11 na graph inaenda tena juu. Naamini Hadi mwakani nitakuwa na million 100 na nitarudi tena Barabarani.
 
Aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…