Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Aisee hata mm wa kangomba dah ni maumivu..aisee nasikia watu walijinyonga.
 
Magufuli alikuwa mkatili Sana mbaya zaidi alikuwa akijihisi malaika!
 
mataji wa kupewa bila uzoefu auwezi kudumu labda kwanza ufundishwe
 
Walishindwa kuficha korosho
 
Duuu pole
 
Shida ya WaTz tunataka tufosi mambo ambayo hayana uhalisia. Hata iweje pesa za madili au pesa unazopata kwa mkupuo au bila mpangilio ni ngumu sana kufanyia miradi itakayo kuingizia pesa. Tena ukitaka ufilisike haraka hizo pesa ziingize ktk biashara... Jiwekee mipango ya kimaisha kwamba nikipata pesa nitanunua kiwanja au nyumba au nitaanza ujenzi. Hii mentality itakusaidia kukumbusha kuzitupa pesa haraka ktk mipango yako... Halafu kingine cha ukweli ambacho watu hamkisemi kawaida mwanaume ukipata pesa ambayo unaiona ni nyingi ktk maisha yako basi utambue 10-20% ya hiyo pesa lazima ufanyie anasa, kwahio ni vzuri kuukubali huu ukweli ili ukipata pesa tenga pesa kwajili ya anasa, zinazobak wekeza kwenye Assets... Mimi sina cha ku regret kwasabab naishi ktk mfumo huu, nikipata million 100 najua kabisa million 10 nitazitumia kujipongeza kwa ugumu wa maisha...
 
10% kuupa mwili pole.
 

Ukimuomba Mungu HEKIMA anakupa vyote.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katika Zote nilizosoma anko kiboko kabisa[emoji119][emoji119]
 
Vipi aisee Anko bado yupo? Vipi utawala wa MAGU alipita salama anko?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipi aisee Anko bado yupo? Vipi utawala wa MAGU alipita salama anko?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alipita fresh tu, mpaka sasa ni contractor, wafanyakazi wake wanamuita injinia, nadhan hawajui kama aliishia la saba πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Mwaka juzi tulienda kijijini kwenye msiba. Mida ya jioni palitokea ugomvi, siunajua misiba ya kiafrika,pombe zinakuwa nyingi. Sasa kwenye ule ugomvi, kwa hasira Anko akawa anashika kiunoni kama anataka kutoa bastola, baadhi ya wanakijiji wakatawanyika (wanakijiji wanajua Anko ni usalama wa Taifa). Mkewe akawa anacheka sana kwa kile kitendo, anatwambia "Huyo bastola anaiona kwenye movie tu, hata kuiona kwa macho yake hajawahi, sembuse kuwa nayo?" πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
...huyu kama kaka yangu kabisa
Naye ni std 7-ila mambo yake mengi mno hapa mjini...mara yuko na mkuu wa majeshi,mara yuko ikulu,mara ana vikao na mkuu wa mkoa....full ujanjaujanja.. ila yeye bastola anayo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…