Abramovic
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 324
- 605
Huyu atakua Mr. NiceMuziki mkuu ,alipendwa sana Burundi,Congo,Rwanda,Kenya,Comoro etc kote huko alikuwa anajaza Arenas.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu atakua Mr. NiceMuziki mkuu ,alipendwa sana Burundi,Congo,Rwanda,Kenya,Comoro etc kote huko alikuwa anajaza Arenas.
Sikama wema tu hela za kuhongwa haxina faida ni kama za pension zinaisha bila kujua hataMi sister angu aaah alikua anahongwa hadi mil 50, mil 20, mil kumi......Kuna rfk ake na Ridhiwani Mzungu mmja hiv kam spoil sana sister sir tupo tunatoa mimacho tu.....eeh ukimuona sa hv sister angu yani sio yule R Dangote yani hata ukimwambia ccy twende ukanispoil anakwambia mdg angu sina ubavu huo
Mim kuhongwa pesa kubwa kabisa ni mil 5 nkahongwa mara ya pili tena mil 3 nkaongezea nkafungua biashara siku ya siku nliibiwa kila kitu dukani nlikua chizi fresh
Huyu atakua Mr. Nice
100k/day sio mchezo ikawaje ukaiacha na ni rushwa za kazi au madili kiwandani na ni constant au ulikuwa zaidi ya hapo[emoji16],Wa kiwanda bro,, bar nani atakupa Rushwa asee..?
100k/day sio mchezo ikawaje ukaiacha na ni rushwa za kazi au madili kiwandani na ni constant au ulikuwa zaidi ya hapo
Siyo constant, siyo madili,, pesa y maji tu 😆,,100k/day sio mchezo ikawaje ukaiacha na ni rushwa za kazi au madili kiwandani na ni constant au ulikuwa zaidi ya hapo
Wanawake wabinafsi mnooo. Yaani wao ukiwa na ndalama wapo nawe ukifilia duh...ndipo utakapo onantrue colors zake.
Aisee acheni tuu wanawake mbususu zao tamu ila ni mashetani wakubwa sana.
Hawa dawa ni kuwavua kyupi basi lakini sijui ufuge ndani kama mke hapana aisee.Why as man invest in yourself dont invest kwa mwanamke. Ita ku save sana baadae. Maana mambo yakiharibika ni wachache sana huwa wanabaki
NdioMkuu,inaonekana ulikuwa unawala sana kina dada
Achana na dm, tandaza maujuzi apa'apa bhana!Hujui jinsi ya kupata mademu njoo dm nikupe lecture million 4 unaweza lala kilasiku na demu vip tena mwezi mzima humalizi 3 million
Anasifa aligundua unampiga auSiyo constant, siyo madili,, pesa y maji tu [emoji38],,
Muhindi took my job bro
Uko mkoa ganiAchana na dm, tandaza maujuzi apa'apa bhana!
Mil.3 ufisi maji na bata kama zote kila siku kwa mwezi mzima!
Mbona kila nikiunga maesabu yanakataa?
Maana ukiamua kuchafua hali ya hewa kwa kutwa nzima, laki si pesa!
Kama upo dar niambie nikuelezeAchana na dm, tandaza maujuzi apa'apa bhana!
Mil.3 ufisi maji na bata kama zote kila siku kwa mwezi mzima!
Mbona kila nikiunga maesabu yanakataa?
Maana ukiamua kuchafua hali ya hewa kwa kutwa nzima, laki si pesa!
😂,Nilikua sipigi bana,, fasheni tu ilifika bilionea bila kuajiri mhindi hajisikii🤷🏽♂️Anasifa aligundua unampiga au
Niko mkoa, ila ni Dar kabisa kasoro tu bahari.Kama upo dar niambie nikueleze
Mkoa ganNiko mkoa, ila ni Dar kabisa kasoro tu bahari.
Duuu pole sana aisee ninewaza hiiDu acheni kunikumbisha, nilikuwa nafanya kazi sehemu flani wafanyakazi wenzangu wakashawish kampuni iwe inatoa mkopo Mara pa ikakubaliwa na wenzangu walichukua mkopo mkubwa na Mimi nikachukua 8ml, do kwanza sijazigusa mwezi mzima najaza mipango kwenye makaratasi, usiku naamka napanga mipango, nikapata wazo nidroo pesa zote nikae nazo Ndani.
Nikadraw, siku moja kama demu wangu kaniambia mbona siku hizi unapiga mahesabu sana na makaratasi mengi mezani, nikamwambia hamna mipango tu, Mara akajua Nina pesa, akaja home sijui alinitime VIP akaiba zote, kuna machinga nilimuambia aniletee pas original asijal gharama, siku kaja nachek bahasha sioni pesa nampigia simu Selina hapatikani, nauliza nkaambiwa ameenda Morogoro, jamaa anasema pasi elfu 40, kaiacha hapo,
Hawa dawa ni kuwavua kyupi basi lakini sijui ufuge ndani kama mke hapana aisee.
Naona diamond kawapatia ni kuwasasambua tuu
Kweli kabisa yaani ukiwa unadate na mwanamke alafu ata siku moja hajakununulia kitu huyo ujue ni selffish promax.Fuga ndani kama mke yule anaekuelewa. Yule submissive to you not virse versa.
Ndio maana ktk uchumba ni vema ukajarib matukio ya kutokuwa na pesa , reaction yake itakupa picha mtu ulie nae.
Sio wote wabaya, but wazuri ni wachache sana
Elezea zilipoteaje