Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Namuhuria boscojirani angu
 
Mulemule.😂😂😂😂😂

Hesabu ya mwezi ikigoma unarubuni mteja afanye prepayment, eti discount ya mwisho wa mwezi kumbe unaenda kubalance books.

Ukifunga mwezi simu zinaita, ulivyo taita mambo yakienda kombo kdg unamvutia waya wakala, unatoa maelekezo tu mkwanja unaingia. Mtasawazisha ukipiga michingo. Aisee.

Nipo nakimbizana na mama kuosha vyombo, kichwa kimepoa. June tunaeudi vitani.
 
Sawa Doreen
 
Story za watu humu ndani zinafurahisha na kuelimisha sana. Nashukuru Mungu niliwahi haraka kukinai starehe. Mimi kulipia ada watoto, kuwajengea vitega uchumi na kuwatoa out na vacation inanipa raha kuliko kunywa pombe au mademu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…