Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tatizo WATU wengi ufulia kwasabab wanashika vijichenji kama milion 100 kwenda chini na starehe kibao. Ukikamata dollar million moja hata ukila bata kiasi gani huwez fulia
mkuu utatafutwa na wale malaya expensive lazima wakupulule kuna madem wazuri wanajiuza kwenye ma hotel ukiiona pisi hivi unashindwa kuchomoa na kuichakata inakuletea mlolongo labda uitie milioni 50 ndio inaachia mbususu
 
Nakumbuka kuhong kwangu about 10,000+ kuendelea sio shida kusafir papuchi.
 
Ni kweli..hata sisi nyumbani mama alipokua ana maisha safi ndugu walikua hawakauki nyumbani..wengine hata hatuwajui sasa hivi hali mbaya mno nyumbani hatuna ndugu anayekuja hata kugonga hodi.
Sisi tuliwahi pitia hii situation

Ndugu walijaa sana home pale

Ukaa msoto mmoja mkali sana mzee akawa juu ya mawe for 3 damn years .

Bimkumbwa ndio anasimamia show za home .

Walipotea wote[emoji1787] marafiki wa mzee walipotea wote hawaji na magari yao home .

Mzee aliisha suruali zikawa hazimtoshi ,bia akawa anaiona chungu .

Miaka 3 baadae akapata dili fulani analofanya Hadi leo karudi stable kiuchumi Mara 2 zaidi hawaji Tena siku hizi .

Na mzee gambe zimepungua kabisa kwanza umri ushamtupa yuko around 60's huko .na uzuri wote tulishakuwa na tuna maisha yetu

Filisika akili ikukae sawa
 
Duh
 
Huu uzi ni motivational sana

Huhitaji kwenda kwa motivational speakers

Soma huu uzi na ujifunze

Mimi binafsi niliwahi kila msoto zamani kidogo nilikopa hela nikaitumia ndivyo sivyo.

Ilipoisha nilijilaumu sana japo nashukuru haikuwa pesa ndefu sana miezi ha kulipa mkopo ulikuwa michumgu

Uchungu wake ulinifunza jambo.

Baada nikawa Niko stable nikawa nahonga sana kutumia laki 4 kwa siku na demu ilikuwa ni upumbavu mkubwa sana niliofanya

Pesa naisotea kuipata mwisho wa siku inaishia kizembe sana

Nilikaa chini nikatafakari sana nikasema sirud Tena huu ujinga.

Siku hizi Niko makini sana pesa ystaka nidhamu Kali sana uwe bahiri,roho mbaya, hasa kwa watu mnaojuana saidia tu watu baki ambao hamna uhusiano wowote.
Kaka Hata me nimehstuka kabla sijafilisika kuna watu inabdi uwapoteze tuu
 
Nilifurukuta kwenye mvua na jua, usiku na mchana kwenye kazi za kutumwa, zenye maudhi ya kila aina, dhulma na visasi nikafanikiwa kupata mtaji kama m7, mzee baba nakomaa nayo hiyo kidogo sasa ka business kamefikia mtaji wa m15 ndani ya mwaka mzima, alafu biashara moja ya kidwanzi machoni pa watu lakini mm kwangu ni tamu kama nguruka, najenga ka mjenho ka pili, kupitia hiyo hiyo biashara bila ya kuingilia mtaji

Huko nyuma nishawahi kumiliki b2 ( ki ukweli nazo nilizipata kimazabe na zikaisha kimazabe ) nilichofanyia mpaka sasa sijui *****, lakini kufupisha tu story nilikutana na wacongo na waganda hawa watu sio poa, walinifanya niongee pekeyangu kwa miaka kadhaa.
 
Daaah asikwambie mtu,

Bhaasi ndugu zangu kuna mradi nilianza kusimamia nikiwa kama msimamizi,mnunuzi wa materials na mlipaji back in 2018 august mpka june 2020 zilipita katika account yangu na zikapita mikononi mwangu karibu bilioni 2 😁

😁😁 nzuri zaidi nilikua naaminika sana, nilipokua nawekewa pesa zain ya milioni 100 at once nikisema zimeisha sikuwahi kuulizwa nimetumiaje.

Mwacheni shetani tu anizingue coz those days alinisisitiza sana sana nijiongeze lkn akili ilikua haitaki kabisa, now ni zaidi ya kapuku ninaeomba kila siku siku zirudi nyuma na nifanye kile shetani alichonisisitiza.

Nahitaji maombi
 
Nilifurukuta kwenye mvua na jua, usiku na mchana kwenye kazi za kutumwa, zenye maudhi ya kila aina, dhulma na visasi nikafanikiwa kupata mtaji kama m7, mzee baba nakomaa nayo hiyo kidogo sasa ka business kamefikia mtaji wa m15 ndani ya mwaka mzima, alafu biashara moja ya kidwanzi machoni pa watu lakini mm kwangu ni tamu kama nguruka, najenga ka mjenho ka pili, kupitia hiyo hiyo biashara bila ya kuingilia mtaji

Huko nyuma nishawahi kumiliki b2 ( ki ukweli nazo nilizipata kimazabe na zikaisha kimazabe ) nilichofanyia mpaka sasa sijui *****, lakini kufupisha tu story nilikutana na wacongo na waganda hawa watu sio poa, walinifanya niongee pekeyangu kwa miaka kadhaa.
Million 2000?
 
Nikiwa nimemaliza chuo sina hili wala lile, niko kitaa nikijipanga, nikachangiwa na ndugu zangu mtaji wa milion 4 point something huko, niende nikafanye biashara ya mchele toka Moro vijijini kuleta mijini na kusambaza kwa bei ya jumla.

Biashara mwanzo ilienda vizuri, mwisho wateja wangu wa siku zote wakawa wakopaji wangu wakubwa, malipo yakawa ya kuzungushana, nikawa mkali kidogo ila kwa bahati mbaya pesa ikawa ndogo kwenye mzunguko wangu, sinunui tena zile kilo nilizoanza nazo kwa wakati, mambo yakawa tofauti kidogo, nikaenda weee.

Mwisho wa siku nikachanganyiwa mchele kipuuzi kabisa na mtu ambae nilikua namuamini, nikajikuta nipo na mchele wa vitumbua na jamaa yule kakimbia, hapo ndio ukawa mwisho wangu, nilifilisika kama kuku, ndugu zangu hawakunielewa tena, nilipata stress kama tani 7 hivi.

Wakati tena nikapataga milion 3 kwa enzi zile haikua haba aisee, nikawa naishi vizuri tu, hizo elf 10 kwangu zilikua buku, sina cha kujibania kwa kweli, kuja kustuka nimenunua friji na tv tu vya geto tena ka friji kale kadogoo kabisaa, hela yotee imeisha katika njia zisizoeleweka, nilichanganyikiwa tena, sina nidhamu ya fedha.

Mwisho nikarudi zangu kusoma tena chuo ndio nikaja kutoboa kwa njia zingine kabisa kwa kutumia kazi niliyosomea.

Je wewe unakumbuka vipi? Nini kilikupata?
inawezekanaje mil 4 ionekane ni hela ya mtu kufirisika , mbona ni ndogo sana ?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Nilikuwa nakaanga mayai 10 kila siku.
Nikienda bar. Mbuzi choma ya 10,000.
Kuhonga sasa.kuvaa usiseme.
Mara ya mwisho Naenda ATM. Kuna 4,500..
Nilikuwa mdogo.ila HeLa za kukinga tu hazina Baraka
[emoji28][emoji28][emoji28]Mayai kumi kwa siku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaaani mlemleeee!!! halafu unajifanya uko bize na miamalaaa, unapishana na wadosi kwenye ATM, ukikuta ATM haina salio unaanza kulala kwamba wanazingua wanakuchelewesheni kwenye biashara!! kumbe unawahi baa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

zikiisha hautatamani hata kupasogelea!! unaona hadi vibinti vinaingia wewe salio linasoma tshs 1600.50/= ( maana yake haitoki) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu huna hata vocha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa nazo za kukinga.
Rafiki yako mkubwa ATM. Ukiingia pale una bofya tu. Mpunga unatoka. Zingine mpyaaaa. Alafu zina ubaridi ubaridi wa air condition. Ngoja siku ziishe. ATM utaipitia kwa mbaaali. Uingie ukafanye nini.?
Nimeyamiss haya maisha kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habun
witnessj
Huu uzi mmeuona lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom