Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Nilifurukuta kwenye mvua na jua, usiku na mchana kwenye kazi za kutumwa, zenye maudhi ya kila aina, dhulma na visasi nikafanikiwa kupata mtaji kama m7, mzee baba nakomaa nayo hiyo kidogo sasa ka business kamefikia mtaji wa m15 ndani ya mwaka mzima, alafu biashara moja ya kidwanzi machoni pa watu lakini mm kwangu ni tamu kama nguruka, najenga ka mjenho ka pili, kupitia hiyo hiyo biashara bila ya kuingilia mtaji

Huko nyuma nishawahi kumiliki b2 ( ki ukweli nazo nilizipata kimazabe na zikaisha kimazabe ) nilichofanyia mpaka sasa sijui *****, lakini kufupisha tu story nilikutana na wacongo na waganda hawa watu sio poa, walinifanya niongee pekeyangu kwa miaka kadhaa.
Bil 2??????
 
D
Tajiri yetu wa JF Kiduku Lilo apitie hapa isijetokea siku tukamkuta nae anapanda guta badala ya Range rover.

Hello wananzengo

Jamani jamani jamani, Niko serious, utani matusi na mizaha isiyokua na tija haitapokelewa.

Give me 3 million or 4 million na nakuahidi ntakachopata ambacho ni zaidi ya milioni 250, nitakupa milioni 50. Nina uhakika na nachoenda kufanya.

Guarantee tutaingia makubaliano kisheria kabisa, nina asset kama nyumba na kiwanja. This is serious. Wengi wana hela lakini hawajui wazifanyie nini ila wengine hatuna lakini nafasi kama hizi zinatujia kila uchwao.

When you are Man, you have to find money and more money, and more and more money, pssy, bia, starehe, zipo tu but ... MONEY, POWER. UJI ESTABLISH AS A MAN kwanza ndo mengine yafuate.

Mawasiliano zaidi yatafanyika pm.

Asante na karibu for serious minded.
Uongo wa mchana nenda benki kakope kwa hizo asset 🤣😇
 
mimi ndo ngedere kabisa nilifanya kazi kwenye kampuni ya gas ndan ya miaka mi3 nilipata kama milion 10 nikanunua pikipki yakutembelea nikawa kazi yangu kuwafata mademu na kwenda kula bata beach demu nikimpata mtandaon hata awe anakaa kibaha namfata na pikipiki kiukwel sikuamin kama ile hela ingekuja kuisha nilikuwa naiona nyingisana kumbuka mii nmetokea familia ya kimasikin iv nnavyoandika hapa nmerud naish hom kwa baba na mama sina hata mia mfukon
Nimeishia kutabasamu tu😁
 
Nilifurukuta kwenye mvua na jua, usiku na mchana kwenye kazi za kutumwa, zenye maudhi ya kila aina, dhulma na visasi nikafanikiwa kupata mtaji kama m7, mzee baba nakomaa nayo hiyo kidogo sasa ka business kamefikia mtaji wa m15 ndani ya mwaka mzima, alafu biashara moja ya kidwanzi machoni pa watu lakini mm kwangu ni tamu kama nguruka, najenga ka mjenho ka pili, kupitia hiyo hiyo biashara bila ya kuingilia mtaji

Huko nyuma nishawahi kumiliki b2 ( ki ukweli nazo nilizipata kimazabe na zikaisha kimazabe ) nilichofanyia mpaka sasa sijui *****, lakini kufupisha tu story nilikutana na wacongo na waganda hawa watu sio poa, walinifanya niongee pekeyangu kwa miaka kadhaa.

Pole sana
 
Nilipewaga dola 100 zamani sana na danga limoja hivi aiseee kwa kipindi kile ilikua ela nzuri nikaja nikaila bila kuelewa imepita wap

Nikaja kupewa tena mil1 na hilo hilo danga zamani kidogo nayo haikufanya la maana

Nikaja nikapata danga lingine likanipa m2 nazo nimefanyia kazi haikuzaaa

Tangu wakati huo miaka imepita sitaki tena hela za madanga, nimeolewa na ninatafuta hela kihalali.

Msiwashangae kina Wema hela za kudanga hata upewe bil 1 huwa zinayeyuka.
Pesa ni pesa bana ukiweza kuizalisha unatoboa...sema ukiwa tu huna hulka ya kufanybiashara na kuzalisha utafeli hata kama utapata pesa ya Kanisa au msikiti.

Ila hapo kuhusu Madanga natamani kujua umrembo kiasi gani maana yaonesha unaita haswa.
 
Nilifurukuta kwenye mvua na jua, usiku na mchana kwenye kazi za kutumwa, zenye maudhi ya kila aina, dhulma na visasi nikafanikiwa kupata mtaji kama m7, mzee baba nakomaa nayo hiyo kidogo sasa ka business kamefikia mtaji wa m15 ndani ya mwaka mzima, alafu biashara moja ya kidwanzi machoni pa watu lakini mm kwangu ni tamu kama nguruka, najenga ka mjenho ka pili, kupitia hiyo hiyo biashara bila ya kuingilia mtaji

Huko nyuma nishawahi kumiliki b2 ( ki ukweli nazo nilizipata kimazabe na zikaisha kimazabe ) nilichofanyia mpaka sasa sijui *****, lakini kufupisha tu story nilikutana na wacongo na waganda hawa watu sio poa, walinifanya niongee pekeyangu kwa miaka kadhaa.
lete hii story mkuu
 
Back
Top Bottom