Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi kweli kiboko! nilijua ni Mimi mwenyewe kumbe tupo wengi sana.
Nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana Basi mzee akanipa M3, M1 nimsaidie kukarabati nyumba yake na zingine nione nafanyia nini, Sasa mimi kweli nyumba yake nikakarabati sasa hela iliyobaki nikawaza nijengee kijumba kwenye kiploti alichonipa nifanye masuala ya ujasiliamali hapo.
Mpaka sahizi lipo pagale lililoezekwa tu, na hela imekata sina ramani niponipo tu, lakini kila nikiangaliaga matofali yalivyopangika kwenye kijumba napata nguvu kwamba angalau sijaipoteza bure Kuna kitu nimefanya.
Watu wanajua kutumia pesa aisee, ilikuwa mwaka gani mkuu?Mkuu nakubali lakini sio milioni 50. Wakati nipo chuo kuna bro mmoja tulikuwa tunasoma naye aliletewa Uwoya kwa laki 6,bata na dalali ilitumika kama 1m tu pale Maisha Club
😂😂😂Bora mara mia wewe wengi wetu hela ilikuwepo na sasa haionekani tofauti na wewe hiyo hela inaonekana ilifanya nini na hujapoteza
Wengi wetu hela ilipotelea kwenye hasara na wengine anasa za pombe na ufuska
Ilikuaje Mkuu? Ulikula bata au ulifanya biashara ikafeli?Tarehe kama ya leo mwaka uliopita nilikuwa na milioni 40 bank
Leo hii cjui hata siku itaishaje Yaan sina uhakika wa Milo mitatu
Pesa hizi
Niliweka kwenye biashara aiseee kilichonikutaIlikuaje Mkuu? Ulikula bata au ulifanya biashara ikafeli?
Jipange upya tuNiliweka kwenye biashara aiseee kilichonikuta
Achaaa tuu
😂😂😂
Me ponapona yangu ni kwamba pombe sinywi, Kama ningekuwa nakunywa nadhani ningekuwa nimemalizia huko.
Pole sana,naamini utakua uliinuka upya.Niliweka kwenye biashara aiseee kilichonikuta
Achaaa tuu
ndio maana mimi nakomaa na tudemu twa 30 na msosi 20. huwezi kukuta nafilisikaMwaka 2012/2013 tulipiga 50M, mimi na msela wangu kwenye company moja ya vinjwaji huko Kanda ya Ziwa! Tukagawana 25M!
Ilikua Ijumaa,nikakata fast jet,faster Dsm,saa kumi na moja tukasepa Mwanza,bondeni hotel pale magomeni ndiyo nikawa nalala pale! Baada ya kufika dsm saa moja hivi za jioni,mwanangu mmoja alikua Sinza Mgabe pale,fanya Mpango Shangazi Ezekiel alichezea koki kwa siku hiyo,hadi asubuhi kwa laki tano,hapo toa gharama ya vinjwaji na chakula plus ticket ya ndege,chumba cha kulala,maana yake 2M inakata hiyo, Basi bwana,kesho yake nikashinda nimelala tu, kozi ya uchovu na Pombe na gegedo! Usiku tukazama Casino pale Palm Beach,tukapigwa laki 5,tukaenda the Grande tukapigwa laki 5,basi hapo Mimi nasema haina shida pesa ipo! Tukaenda The Princess pale IT Plaza,aiseee tukapiga 5M! Jamaa akasema tusepe,hapo nishalewa,kulikua na demu flan hivi Mfilipino,alikua anauza nikasema twende,bei USD 500! Nika change pale pesa,nikawa na USD kama 100 hivi! Jamaa yangu akasepa zake,kaniacha,nikachukua yule demu,nikaenda kula!
Kesho yake nikarudi pekee yangu Casino,si wakanila 3M! Nikaondoka kurudi Hotel,hapo kwenye 25M bado kama 20M hivi!
Nikarudi Mwanza,fanya fujo sana,nikaja shituka nina 10M! Nikanunua kiwanja na furniture za ndani pesa yote kwisha! Nikasema sasa hapa tupige deal tena nianze kujenga,deal likawa dirisha,kikaota,nikasepa zangu shytown! Hangaika sana ramani hazisomi! Ikabidi niende tu kwenye company za wavaa overall! Maisha na pesa ni kama shetani hivi hua anakuja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha yan milion tu ikakutia uchizi [emoji3][emoji3][emoji3]Kwa mara ya kwanza kudraw hela ya Forex 2 Million, kwa akili zangu those days iyo hela sio rahisi kuisha.
Niliwahi lipia mhudumu mmoja alikuwa off duty nauli ya Tax usiku saa 7 aje anichanganyie cocktails eti siwezi kulala bila iyo kitu.
Ilikuwa ukinikuta nimetulia bar hata kama sikujui na umenizidi umri utasikia, "mbona unanikosea adabu, weita mpige huyu na bia anazotaka" hapo niko na John walker red label.
Mamaaaee ile hela hata Boksa sikununua.
Vipi ulitapeliwa?Tarehe kama ya leo mwaka uliopita nilikuwa na milioni 40 bank
Leo hii cjui hata siku itaishaje Yaan sina uhakika wa Milo mitatu
Pesa hizi
Inategemea na utakakookokeaUSHAURI: Ukifilisika USIOKOKE narudia USIOKOKE hutarudi kwenye game kamwe ukiokoka.
Kidogo kidogo mkuuPole sana,naamini utakua uliinuka upya.
Fanya biashara zote ila usiingie kwenye riba either kwa kukopa au kukopesha...mwanzo utaona unafanikiwa ila baadae Mungu atakuchapa kofi ambalo hutakuja kulisahau maishani mwako mwote mpak unazama kaburini.RIBA ni LAANA...ukitaka kuangamia fatana na RIBA. BIASHARA imebarikiwa ila RIBA IMELAANIWA.Duh,sikuwah kupewa hela,sikuwah kuomba mtaji ila nilipiga kbarua nikapata 8000 (elfu nane) nikaanza biashara ya kamba za simu,nikauza kila siku napata faida 4000 -5000 nikameki mpk ikafika laki na nusu,nikaanza kununua na housing za simu,biashara ikanenepa mpk kufika laki tano,nikafungua kibanda cha mbao,nikaendelea kdgo kdgo nikapata compiter nikaanza kuweka mziki,nikakomaa kama mwaka hiv,kipimd kile kuweka mziki mmoja jero bas kwa siku napata 20k ikipungua snaa 15k,nikaanza kuweka simu moja moja huko nje ya mji,nikauza kama sina akil nzur,nikafukisha mtaji wa milion 4,kiukwel nikaingia kwenye frem,we bwana wee wacha nikomae muuza simu maaruf,nikakomaa nikawa na nyumba na kagar vitz,CHA kunisogeza mjini,nikakomaa hvyo hvyo kuja kutamalaki nina zaid ya milion 20,nikaanza kukopesha watu kwa riba,unakuja na gari na kadi nakupa hela,aisee nikapiga mihela kila siku na maisha yakawa safiii.
Balaaa lilipoanzia...
nikapata mchongo wa madin kule tanga sehem za kigongoi na kigwase,sina uzoef,siyajui madin wala sijui soko,hapa ndo penye tatizo kwa weng,naletewa madin hata kuyakagua sijui halaf naemtegemea kumbe nae hajui tunanunua mabov tu,najua tunaenda kupata hela town kumbe naenda kuumizwa,sikukata tamaa,nikafanya tena na tena lakin wap,mwsho nikakuta nimepoteza karib milion 17 bila faida,nikaona isiwe tabu,nikaanza kuchimbisha watu mm mfadhili,nikapiga piga hela ikakata,nikaangalia nyuma na kuangalia nilipo anguka nikajua ni uzoefu na utaalam wa madin sina,nikaendelea kukomaa nikauza gar,kupeleka hela mgodin holaaa,duka nimefunga,mtaji umekata,na sina mbele wala nyuma...
Mm mwanaume nilianza sifir nikapata hela sasa nikaenda kwa wakwe zangu nikawaomba nimwache mke pale miez sita kuna mahali nahitajika,kosa waliloffanya ni kukubali,bas baada ya kumwamishia mke pale na mtoto nikaondoka nikaipiga nyumba bei,nikauza kila kitu bila mke kujua,nikapata kama 22m maana niliiuza sbu ya uharaka nyumba yenye thaman zaid ya 40ml. Nikasepa zang mgodini,asee yaliyonikuta nikachanganyikiwa zaid,nikaitumbukiza hela na haikurud hata mia zaid ya maden,nikabakiwa mikono mitupu,nyumba,duka,gar,mke sina kwa kipind hcho japo mke najua nikirud ntampata. Nikamtapele jamaa mmoja laki na nusu nikakimbilia mbinga songea kulima mahind vibarua maana naona aibu ya kurud,nikapiga msimu wa kwanza nalala kwa mshakaji wng kimya kimya dunia haijui nilipo,nikaomba nami heka moja nilime mazao yangu,nikakomaa haswa asee duuuh achen asee maisha haya,bas nikapata gunia tisa nikazilipua fasta gunia moja 20k nikasepa zangu tabora,maana nina ifaham kwa kias,nikapata dili la asali,watu wana asali pa kuiuza kwa dar hawapajui nikaona fursa hii,nikawaambia mm ninamteja dar twenden,tukaja mpka dar[emoji3] [emoji3]
nilipo fufukia
,nikawapeleka kwa mshakji wakauza asali ya milio 9 kama sikosei,wakakosea wakanipa laki tano,nikawaambia kaleten nyingine najua pa kuuza bei kubwa zaid,wakaenda huko wakakusanyaaaa za nyuki wa kubwa na wadogo,kuleta mzigo nam nilikua nimepata jamaa muhindi anainunua,bas kushusha tu mzigo hela hizo,genji yangu na ujanja nikapata 2ml. Nikasema nipange chumba kulala kwa washkaji nimechoka,nikapanga chumba tabata liwit uswahilin,kila wakileta mzigo dar mm ndo mjanja wao napata laki tano mok milion,muda wote mke hajui nilipo wala namba zang hana na niliamua makusud kukaa hvyo,baada ya miaka mitatu ya asali nikajikuta nina zaid ya milion 4,nikaanza tena kurudia biashara yang ya zaman japo nilikua na mtaji lakin soko lilikua shida,nikaona niwe mbunifu zaid,nikakomaa na biashara ya kutembeza mpka nikafungua tena frem,bas bhna mungu akivyo wa ajab,naletewa simu za ishu kutoka nairob nauza jumla jumla siku mbili sina kitu,biashara ikarud kwenye mstari,nikanunua sehem kule pugu shule ya sekondar nikaanza kuinua kdgo kdgo,mpk nilipohakikisha nimepauwa ndo nikarud kumsalimia mke na mtoto,zaid ya miaka mitatu nilivyokua mkimbiz ndan ya nchi yngu. Kiukwel leo naweza kwenda popote,muda wwte,naweza kula cchte,naweza nunua ving ambavyo watu wanataman kua navyo,wala sitok jasho,nilale,niamke hela napata tu,japo uchum umebadilika lakin siwez kushindwa kuyamudu maisha kwa hali yyte kwa sasa,na mwaka jana nilitaka kujenga shule ya awali mpk sekondar sema kuna ukiritimba flan nikakutana nao nikaghairi. So anaefilisika usimcheke hata siku moja maana anauwezo wa kurud barabarani na akafanikiwa zaid.
Mkuu nimejenga nyumba ya 13Ml iliyokamilika kila kitu ila sijawahi hata kukamata 1M cash mkononi,nimekushangaa sana kuandika hiki kitu.Million 4 nazo ni pesa za kusimulia watu?
Wengi wetu tunadhani kuwa tajiri ana haki ya kuibiwa au kudhulumiwa....laa hasha , DHULUMA haijawahi kumuacha mtu salama..iwe umemdhulumu tajiri au maskini..You will pay the price in this world and the hereafter.Tajirimsomi kuhusu wahindi nna ushahidi wa dadaangu baba mmoja mama mmoja!...
Aliwapiga wahindi kama 60m hivi, akanunua Benz, kiwanja, na furniture ndani, alichokosea na yeye mara uzalendo umemshinda akaanza kwenda na Benz lake job!
Wee navyoongea now wamemchunguza ila yy hajapelekwa mahakamani, tunachokiona sisi ni kwamba kalogwa, benz kushnei now ( alipata nalo ajali Moro) kiwanja kauza, alitaka kufanya biashara ya mbao sijui anashirikiana wa jamaa gani na alichangia 15m, huyo jamaa yake kapata ajali na vibaka wamemwibia hizo pesa!
Yaani na ana mikosi hataree!
Nakuunga mkono,haya mambo ya kupambania pisi za 700K ni moja kati ya vyanzo vya kuishiwa mapema.ndio maana mimi nakomaa na tudemu twa 30 na msosi 20. huwezi kukuta nafilisika
Pamoja sana Mkuu,tutafika tu.Kidogo kidogo mkuu