Nimepigana sanaa...
Siku niliyopatikana ndio ikawa mwishoo.
Mazoea yalizidi nikawa napiga mpk mibabaa. Na sababu nilikuwa na jina nayo ikawa inaniogopaa.
Nikakutana na kisikiii ambacho nilishakipiga kama mara tatu hivi (alikua ana kigugumizi)
Kumbe sijampandisha hasiraa
Aloo hio siku nilipigikaa.
Nikakimbia huyo,
Nikiomba yaishe hataki,
Mpaka nikaingia kwenye karavatii jamaa kanifuata humo humo ananikanyaga.
Nilivyofanikiwa kutokea upande wa pili aloo zile mbio hazijawahi tokea kwangu.