Tuliowahi kupiga/kupigana au kupigwa tukumbushane hapa

Tuliowahi kupiga/kupigana au kupigwa tukumbushane hapa

Hahahha nguzi nyingine.
Nilishawahi kuligana na dogo moja wa uswazi akanibinya macho mpaka nikaomba poo. Saa hizi nikipita kitaa namcheki nasema hiii huyu arudie ule ujinga nitampelekea moto hadi aombe poo

God save us
 
Hahaa,enzi hizo kuna dogo alinidunda dah ,alikua mkubwa kidogo kwangu ila alikua mfupi, mimi nilikua mrefu chembamba, nikawa navimba naweza kumdunda hanitishi etii, weee kilining'ang'ania kikaniangusha chini, nilipiga kelele(kilio[emoji3][emoji3]).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepigana sanaa...
Siku niliyopatikana ndio ikawa mwishoo.

Mazoea yalizidi nikawa napiga mpk mibabaa. Na sababu nilikuwa na jina nayo ikawa inaniogopaa.

Nikakutana na kisikiii ambacho nilishakipiga kama mara tatu hivi (alikua ana kigugumizi)

Kumbe sijampandisha hasiraa

Aloo hio siku nilipigikaa.
Nikakimbia huyo,
Nikiomba yaishe hataki,
Mpaka nikaingia kwenye karavatii jamaa kanifuata humo humo ananikanyaga.

Nilivyofanikiwa kutokea upande wa pili aloo zile mbio hazijawahi tokea kwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom