Tuliowahi kusababisha mimba tukiwa kwa wazazi tukutane hapa

Tuliowahi kusababisha mimba tukiwa kwa wazazi tukutane hapa

DMCT

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
2,276
Reaction score
5,937
Wakuu sina mengi ila kusababisha mimba ukiwa kwa mama mzazi ni shida sana.. 1, kuathirika kisaikolojia 2, kuchukia kudindaa na kuzilaani papuchi 3, kuonekana kama gaidi wa IS 4, Full majukumu na mademu wengine wanakutosa.. Kwa mengineyo karibuni Wadau
 
Wale wa mimba,sizizo na
Mpangilio mje huku

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mimba zote zmetokea nkiwa kwangu

from Katesh using Siemens C55
 
Hehe badili heading ya uzi isome hivi:

Magufuli huu ni uzi wetu special wa kujisalimisha sisi tuliowahi kuwapa mabinti mimba kabla hatujawaoa na probably walikua bado wanafunzi.

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu watu watajaa humu kama siafu
 
Back
Top Bottom