DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,937
Wakuu sina mengi ila kusababisha mimba ukiwa kwa mama mzazi ni shida sana.. 1, kuathirika kisaikolojia 2, kuchukia kudindaa na kuzilaani papuchi 3, kuonekana kama gaidi wa IS 4, Full majukumu na mademu wengine wanakutosa.. Kwa mengineyo karibuni Wadau