WamelalaHuu uzi mbona haujibiwi?
Mkuu watu watajaa humu kama siafuHehe badili heading ya uzi isome hivi:
Magufuli huu ni uzi wetu special wa kujisalimisha sisi tuliowahi kuwapa mabinti mimba kabla hatujawaoa na probably walikua bado wanafunzi.
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app