Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

Kuna jamaa yangu walinusurika na ajali maeneo ya Mwanga Kilimanjaro akiwa kwenye gari la magazeti. Inaonekana alishtuka sana alipofika nyumbani ile kupumzika tu akapitiliza. Lkn source ilikuwa ni ule mshtuko wa kunusurika na ajali mbaya kwenye gari la magazeti!
RIP Kaiza!
 
Kuna siku nililala na Mtoto maeneo ya Chalinze afu saa tatu natakiwa Arusha basi kumi kamili usiku nikaamka nikasema wacha nisogee road sitakosa ata private car, Ule mzigo wa Gazeti haukuchukua muda huo nkapanda, dah kilichotokea Walahi izo gari sipandi tena, Speed ilikuwa kali sana Tumefika Mombo imesimama nkakambia kununua pombe ndo kurudi kwenye ndinga nkajitwisha mtungi
 
Ndugu zangu na rafiki zangu nawaombeni kabisa msipande hizi kitu.Nakumbuka ilikuwa mwaka 2008 nikapanda hizi gari kwenda Moshi sitosahau nimetoka dar saa 6;20 usiku saa kumi na moja kamili niko njia panda ya himo sitosahau jinsi gani nilirisk maisha yangu.Kuna rafiki yangu alipotea kwenye hizi gari maeneo ya mwanga alikuwa anawahi msiba wa mjomba wake na yeye akatangulia( RIP).Niliapa sitofanya huu ujinga tena.Nawausia maisha ni jinsi unavyopanga na kuzingatia mda usijaribu.
 
Kifo hakiepukiki,kama ilipangwa haiwez panguka
 
hao madereva wako vizuri maana hata ajali zao haziskiki so wako saafi kabisa,
dereva wa basi toka s wanga mpaka dar,au kyela dar hawa nao si mchezo wanasukuma zile mashine ile ni safari mama km hujawahi pita hiyo njia jaribu,maana kuna vipande hapo kati ni tambarare tu sasa ndo unaona ufundi wa dereva km una roho ndogo utashuka
 
Back
Top Bottom