Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hukufaa mkuu?Mimi kuna siku nlikuwa natoka moshi kurudi dar saa 12 nimepanda gari ya magazeti pale njia panda saa 6 mchana nipo ubungo...nilichofanya nililala tu siti ya nyuma kbs nikasema km nikifa nifie usingizini
we unaonesha huyajui magari ya magazet kabisa..IT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
Aisee nadhani huyajui kbs hayo magari ya magazeti!IT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
IT ni yapi ayo mkuu wengine tupo kolomijeIT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
Kifo hakiepukiki,kama ilipangwa haiwez pangukaNdugu zangu na rafiki zangu nawaombeni kabisa msipande hizi kitu.Nakumbuka ilikuwa mwaka 2008 nikapanda hizi gari kwenda Moshi sitosahau nimetoka dar saa 6;20 usiku saa kumi na moja kamili niko njia panda ya himo sitosahau jinsi gani nilirisk maisha yangu.Kuna rafiki yangu alipotea kwenye hizi gari maeneo ya mwanga alikuwa anawahi msiba wa mjomba wake na yeye akatangulia( RIP).Niliapa sitofanya huu ujinga tena.Nawausia maisha ni jinsi unavyopanga na kuzingatia mda usijaribu.
Bosi hivi ulishapanda haya magari ukaangalia ukaaji au unajisemea hakuna mtu anafunga mkanda wala nini,Ni kweli iko cku kila mtu atatangulia ila tuache kupanda vitu hatarishiKifo hakiepukiki,kama ilipangwa haiwez panguka