NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Hata meli,treni na ndege hazipatagi ajali za hovyo wako makini lakini wakipata inakuwa disaster kubwaIla hayapatagi ajali za hovyo hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata meli,treni na ndege hazipatagi ajali za hovyo wako makini lakini wakipata inakuwa disaster kubwaIla hayapatagi ajali za hovyo hovyo.
Nimezoea kusafir kwa basi. Lakin kkwa mwendo wa gar za magazeti bi balaaSafari fupi hivyo unalalama, je ingekuwa Mbeya to Dar ?
Duh!!!waliokaa mbele kwa hari inavyoonekana hapo huwenda Roho zimesha acha mwili.
Leo imechinja wanane IringaUsijaribu
IT zipi??? Wewe hujawahi kupanda gari ya magazeti.IT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
Muhindi ana kiwanda chake Keko utamwambia ahamie Dodoma kisa Serikali imehamia huko? uhusiano wa Kiwanda cha muhindi ni kwenye Kodi mengine ni maamuzi binafsi kulingana na upepo wa biashara!!serikali ifanye utaratibu, printing compajiea zote ziwe dodoma.
IT nimepanda zaidi ya mara 3 zina mwendo wa kawaolida sana.IT zipi??? Wewe hujawahi kupanda gari ya magazeti.
IT ni bahati umkute dereva anakimbiza gari lakini hayo ya magazeti wote ni akili moja. Wanakimbia si mchezo.
Sijui yeye alipanda IT gani aiseeIT nimepanda zaidi ya mara 3 zina mwendo wa kawaolida sana.
kuna watu mwisho wa mwaka wana masikhara sana.iT anaitafuta 175km/hr amalizane na dashboard yakeView attachment 2042793
Madereva wa It kama mpo wawili kwenye gari ukilala ujue naye analalaaa afu kifuatachoo ITV.IT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
Daahh!View attachment 2042743
Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya hiace ya kubeba magazeti iliyokuwa ikitoka jijini Dar es Salaam kuelekea jijini Mbeya.
idadi ya vifo imefikia kumi, gari ilipata tatizo kwenye tairi ya mbele ilapoteza mwelekeo.