Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

Nilikuwa natokea Lilongwe naenda Dar ili nije niwahi junction ya uyole,pale hukosi Usafiri Wa kwenda dar,hats ingekuwa SAA ngapi,maana kuna basi Zambia,Congo,Malawi na bado utapata maroli,unachotakiwa kufanya unaongea na wale wapiga debe,hats ingekuwa Gari ya nani ikisimama tu,lazima wakakuombee lift,basi bwana wakaniambi hiyo ya magazeti fast mko dar,Mimi nimezoe kuziona zikiwa zinapita manzese tiptop mida ya sita usikuu na zile bam utasikia watu ya magazeti hiyo,si nikapanda nakumbuka ilikuwa Toyota hilux kama sikosei tukafungiwa kwa nyuma kama karandinga,Ndugu zangu kile ni kifo huku unakiona,zile kona za iyovi kama gari inaludi ilikotoka,hiyo anaesifia IT cha mtoto sanaa
 


Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya hiace ya kubeba magazeti iliyokuwa ikitoka jijini Dar es Salaam kuelekea jijini Mbeya.
 
serikali ifanye utaratibu, printing compajiea zote ziwe dodoma.
Muhindi ana kiwanda chake Keko utamwambia ahamie Dodoma kisa Serikali imehamia huko? uhusiano wa Kiwanda cha muhindi ni kwenye Kodi mengine ni maamuzi binafsi kulingana na upepo wa biashara!!
 
iT anaitafuta 175km/hr amalizane na dashboard yake
 
IT zipi??? Wewe hujawahi kupanda gari ya magazeti.

IT ni bahati umkute dereva anakimbiza gari lakini hayo ya magazeti wote ni akili moja. Wanakimbia si mchezo.
IT nimepanda zaidi ya mara 3 zina mwendo wa kawaolida sana.
 
Zile Hiace nyingi ni 2RZ engine..zinatumia petrol zinamwaga sana moto...ila huku chini kuna adjustment fulani wamefanya kwa ajili ya balance road..kwenye miguu (Tairi) pia wako makini...ila ndio hivyo chuma zile zinataka mtu kidogo ambae haogopi barabara..hata hivyo ajali inaweza kutoke hata ukiwa kwenye speed 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…