inaelekea haujaweza kumsahau judith...ipe nafsi yako nafasi ya pili kuishi na judith,mwanamke amekusaliti hadi kupewa ujauzito nje ila bado baada ya miaka unaanzisha thread kumhusu yeye ni wazi kuwa bado yupo kichwani,mtafute tuu asije akakupa uchizi wa mawazo...
niliwah kuacha mke na nikamtelekezea mtoto kwa hasira kwa kosa flan ila halikuwa usaliti,nilijikuta nakuwa mtumwa wa kumfatilia maisha yake na kila analofanya ila nilijipa moyo kuwa namfatilia kwasabab ana kijana wangu
mzee mwenzangu mtafte huyo bibie myamalize....