Tuliowahi kusalitiwa na mtu anayeitwa Judith njoo tupeane pole hapa

Tuliowahi kusalitiwa na mtu anayeitwa Judith njoo tupeane pole hapa

Weka kwanza picha ya Judith
images%289%29.jpeg
 
Judith"" alikupatia bando la voda "" pindua Pindua..acha kabisaaa lazima ujihisi kihibdi Hindi""(kizungu zungu)
 
Huyu Judith wangu aliwahi kunisaliti akakamata ujauzito wa mwanaume mmoja wa Mwanza anayefahamika kwa jina la Ale. Akautoa kwa siri ila nikamshtukia. Hayo yote ni baada ya kuwa nipo masomoni ila baada ya kurudi nikamtwanga Talaka.

Je wewe na huyo Judith wako nini kilitokea?
mbona kama mpare huyuuu wa ndanda boy
 
Back
Top Bottom