Una haki ya steless kumbe kifaa!
hahaaaaKatibiwe UTI kwanza.
acha masihara basiii Judith angekuwa yupo hivi"" basii mpaka muda huu""mtoa mada ungekuwa una iperuzi jf ukiwa kuzimu aisee""
mbona kama mpare huyuuu wa ndanda boyHuyu Judith wangu aliwahi kunisaliti akakamata ujauzito wa mwanaume mmoja wa Mwanza anayefahamika kwa jina la Ale. Akautoa kwa siri ila nikamshtukia. Hayo yote ni baada ya kuwa nipo masomoni ila baada ya kurudi nikamtwanga Talaka.
Je wewe na huyo Judith wako nini kilitokea?
Chief umepata wapi mamlaka ya kumpost mke wangu kwenye mitandao ya kijamiii?Una haki ya steless kumbe kifaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katibiwe UTI kwanza.
Haikupasa kuiweka hio picha humu...Uyo Mwanzo alikua Wangu Mkuu ivo Baada ya kumuacha sasa Kumbe kawa wako! Kua nae Makini.
Stelles ndo nini mzigua?Stelles mbayaaa
Stress mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Stelles ndo nini mzigua?
Mmmmh haya nimeelewa. Ni stress ndani ya stressStress mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Du mie nimemsifia tu angalia vzr mkuu vinginevyo mchicha unakuhusu.Chief umepata wapi mamlaka ya kumpost mke wangu kwenye mitandao ya kijamiii?
Serious
vimekuja kwenye chupa mkuu...mfn. SHIMHA...sijui herufi kama ni sahihiViroba si vilipigwa marufuku kwani vimeruhusiwa tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha masihara basiii Judith angekuwa yupo hivi"" basii mpaka muda huu""mtoa mada ungekuwa una iperuzi jf ukiwa kuzimu aisee""