Tuliowahi kusoma Green Acres ya Mbezi tujikumbushe kidogo

Tuliowahi kusoma Green Acres ya Mbezi tujikumbushe kidogo

JB alikuwa anapiga sana. Ntanga wa Fine Art na safari za South Afrika, sijui yupo wapi huyu?.

Me nimemkumbuka Patron Panga, jamaa alikuwa na kichwa kibaya kweli.
Wengne hata siwakumbuki sana. Namkumbuka Patron Laurent na Matron Lidya. Namkumbuka Sir. Gordon alikuaga Principle. Ila zile uniform za Green hasa za A level zilikuaga fire. Midada ina mitawko hatari. Af sketi sasa zinavyokaa na wanavyotembea. Si wengne tulikuaga wadogo basi kwenye school bus A level wanakiss na viboyfriend nje nje si tunafaa kuziba macho tu..duhhh
 
Green Acres, Midland, Perfect Vision nk shule za hizi zilivuma Utawala wa JK na Zilibamba kipindi kifupi mnooo mwaka 2000 hadi 2010 zikajifia.
Kuna vidada mcharuko kamoja kaliitwa Rose mwaka 2005 vilikuwa firw hatari vikisoma GReen Acres
 
Eh!,Mr Gordon,lidya ni WA sec au alikuwa wa primary
 
Green Acres, Midland, Perfect Vision nk shule za hizi zilivuma Utawala wa JK na Zilibamba kipindi kifupi mnooo mwaka 2000 hadi 2010 zikajifia.
Kuna vidada mcharuko kamoja kaliitwa Rose mwaka 2005 vilikuwa firw hatari vikisoma GReen Acres
Wapi o level au A level??
 
Je, bossies nani alikutana na vurugumai ya Buju?

Yule headmaster anayevuta bangi alikuwa anaitwa nani?

~ Je, mshana na wenzie wapo?

~ Nani alipigwa mijeledi na yule Jamaa Buju??

~ Je, mnamkumbuka yule mtoto wake Jackline?
Kwa hyo huu uzi n watoto wa Kishua sio
 
Nakupa heko mate
I have a friend alisoma pale walifutiwa matokeo 2004 nadhani ndo mwanzo wa zile shule kushuka kitaaluma na wakawekewe ulinzi wa Hali ya juuu,walibahatika ni 19 au 21 tu kutofutiwa matokeo,anakuambia wao hawasomi ni romance,pombe na starehe mtihani wakiingiwa wa Necta wanaletewa tu majibu woote
Mkuu wao alikua Bujugo nadhani halafu alikua diwani enzi zile mitihani imevuja sana hivi viinglishi medium hivi vimennua sana mitihani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom