Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wengne hata siwakumbuki sana. Namkumbuka Patron Laurent na Matron Lidya. Namkumbuka Sir. Gordon alikuaga Principle. Ila zile uniform za Green hasa za A level zilikuaga fire. Midada ina mitawko hatari. Af sketi sasa zinavyokaa na wanavyotembea. Si wengne tulikuaga wadogo basi kwenye school bus A level wanakiss na viboyfriend nje nje si tunafaa kuziba macho tu..duhhhJB alikuwa anapiga sana. Ntanga wa Fine Art na safari za South Afrika, sijui yupo wapi huyu?.
Me nimemkumbuka Patron Panga, jamaa alikuwa na kichwa kibaya kweli.
Eh!,Mr Gordon,lidya ni WA sec au alikuwa wa primaryWengne hata siwakumbuki sana. Namkumbuka Patron Laurent na Matron Lidya. Namkumbuka Sir. Gordon alikuaga Principle. Ila zile uniform za Green hasa za A level zilikuaga fire. Midada ina mitawko hatari. Af sketi sasa zinavyokaa na wanavyotembea. Si wengne tulikuaga wadogo basi kwenye school bus A level wanakiss na viboyfriend nje nje si tunafaa kuziba macho tu..duhhh
Wapi o level au A level??Green Acres, Midland, Perfect Vision nk shule za hizi zilivuma Utawala wa JK na Zilibamba kipindi kifupi mnooo mwaka 2000 hadi 2010 zikajifia.
Kuna vidada mcharuko kamoja kaliitwa Rose mwaka 2005 vilikuwa firw hatari vikisoma GReen Acres
Enzi zile zile ya green acres hamsomi mnaletewa majibu tu na nyote mnafaulu romance nje nje ,mwalimu na mwanafunzi kulana kawaida sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
PrimaryEh!,Mr Gordon,lidya ni WA sec au alikuwa wa primary
Huyu aliwahi kuongoza mgomo UDSM akiwa anasoma paleRIP MR GERVAS MKILI
Kwa hyo huu uzi n watoto wa Kishua sioJe, bossies nani alikutana na vurugumai ya Buju?
Yule headmaster anayevuta bangi alikuwa anaitwa nani?
~ Je, mshana na wenzie wapo?
~ Nani alipigwa mijeledi na yule Jamaa Buju??
~ Je, mnamkumbuka yule mtoto wake Jackline?
I have a friend alisoma pale walifutiwa matokeo 2004 nadhani ndo mwanzo wa zile shule kushuka kitaaluma na wakawekewe ulinzi wa Hali ya juuu,walibahatika ni 19 au 21 tu kutofutiwa matokeo,anakuambia wao hawasomi ni romance,pombe na starehe mtihani wakiingiwa wa Necta wanaletewa tu majibu wooteNakupa heko mate