Tuliowahi kusoma Green Acres ya Mbezi tujikumbushe kidogo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Tupo tupo..Marehemu Bujugo poor him. Unamkumbuka JB? Kitambo sana. Mr Ashery? Ntanga yule teacher wa Arts...Sir Owen je??
Hahaha mkuu umenikumbusha mbali sana JB alikuwa bonge anafundisha Maths alikuwa mtata kinoma.Ashery alikuwa Headmaster primary kule. Nimemkumbuka na Mr Mkili hatari sana yule MTU.
 
Dah
Green Acres, Midland, Perfect Vision nk shule za hizi zilivuma Utawala wa JK na Zilibamba kipindi kifupi mnooo mwaka 2000 hadi 2010 zikajifia.
Kuna vidada mcharuko kamoja kaliitwa Rose mwaka 2005 vilikuwa firw hatari vikisoma GReen Acres
Midlands hii shule naikumbuka sana nikiwa ndiyo kwanza naanza kazi nilikuwa na rafiki zangu walioenda kure _ sit pale hivyo wakiishi hapo hapo kila weekend nikienda hapo kuwapa hi na pia kucheza disco na mademu wa pale hasa wanafunzi .

Nilikuwa naenjoy uendeshaji wa ile shule uhuni mwingi bata kama club kumbe ni shule , nilisikitika niliposikia eti walutheri kutoka njombe chini ya shule ya Kidugala wameibinfsisha na kuwa shule ya kanisa 😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…