Tuliowahi kusomesha Wachumba na hatujawaoa. Tukutane hapa

Kwa mujibu wa maelezo yako katika hii simulizi, ni wazi wewe ndie una matatizo na una ukorofi.

Huyu mwanamke kwa upande wangu anaonekana ni mwanamke mzuri tu kitabia na hana kiburi bali wewe ulikuwa unamchanganya na maamuzi yako ambayo ndani yake yamejawa ubinafsi.

Angekuwa ni mwanamke kiburi asinge kubali kubeba ujauzito wako akijua wewe haupo kazini, kwani ni wanawake wangapi hutoa ujauzito kimya kimya, ila huyu akaona ni heri akorofishe wazazi wake ili akupe wewe mtoto, it means alikuwa tayari kwa lolote kwaajiri yako na alijitoa kwako ili awe na wewe.

Ulifanya vema kulea ujauzito ila ukaja kuzingua kwa kuamua kimpeleka chuo mbali na wewe(kumbuka umeshapata kazi na unajitegemea) mbaya zaidi ukamtenganisha na mtoto wenu wa umri wa miezi nane. Hivi kwa mtu unaejali mahusiano unaweza fanya hivi kwa mwanamke ambaye amegombana na wazazi wake ili awe na wewe?!

Ulishindwa nini kumtafutia chumba akae na mtoto wenu na beki tatu alee huku akisoma?!

Au kwann haukutafuta chuo Dar asome chochote ila aishi kwa mama yako akilea mtoto wenu na kuwa karibu na mama yako?!

Au ulishindwa nn kumchukua uishi nae hapo ulipokuwa mlee mtoto pamoja huku akisoma chuo kilichopo hapo karibu?!

Sasa unajiweka mbali na mtoto wa watu halafu unataka afanye maamuzi kwa kukusikiliza wewe, kama nani yake sasa?!

Kwamba ukishampa ujauzito na unamkalia mbali hivyo basi automatically anatakiwa kuishi kama robot akisikilizia nini utasema next na mnakaa mikoa mbali tena kwa makusudi yako kabisa.

Kwa nilichokiona katika maelezo yako wewe una mahusiano ya kimabavu fulani hivi, au tuseme haukuwa kiongozi mzuri kwa huyo binti. Binti uliyempata alikuwa ni mtiifu sana kwako na alikuwa ni wife mzuri tu ila ulifeli kumpa muongozo wa kesho yake na wewe ipo wapi. Kumlipia kodi, au kuhudumia mtoto haiwezi mpa guarantee kuwa utakuwa mumewe sababu matendo na mipango yako havikuwa na uhakika kwake kuwa unamhitaji.

Namna nzuri ya kumuonyesha mwanamke kuwa unampenda ni kuwa nae karibu na kuishi nae na kumuonyesha kuwa kila unachofanya ni kwaajiri yenu wawili na yeye ni kipaumbele chako.

Sasa mnatia ujauzito watoto wa watu halafu mnawakwepa kwepa , kisha unakuja hapa kumlamu, sasa amekukosea nini huyo binti?! Si ungemuacha ajisomee pengine angekuwa ameshaolewa na ana familia yake somewhere muda huu.

Ila umeshamzalisha, umetafutiza visa, now umemuacha solemba, haya nani akamuoe sasa na umeshamtia doa la kuwa na mtoto na wewe ile hali hautamuoa....?!

Katubu hiyo dhambi na umtafute umuombe msamaha na uhakikishe unamsaidia kuweka maisha yake sawa na huyo mtoto akae nae sio kumsumbua mama yako utadhani mtoto hana mama yake.

Wewe ndie mkorofi , huyo binti wala si maneno ndio yanayompa jeuri ni matendo na maamuzi yako ya kibabe kumuonea.
Warudi lini?

Unamisika ujue
 
Kwahiyo mtu akikutana na mwanamke ambaye amekwama kifedha na kushindwa kuendelea na masomo basi asimsaidie na wala asimpe msaada wowote?!

Mfumo dume ni kitu gani kwanza?!

Ni tofauti na kumsaidia huyo unayemuita amekwama kifedha, ni jambo jema ila ukilifanya kwa malipo ya kumuoa huo sio msaada tena…. ni mkataba au utumwa kwake.
 
Kwa mujibu wa maelezo yako katika hii simulizi, ni wazi wewe ndie una matatizo na una ukorofi.

Huyu mwanamke kwa upande wangu anaonekana ni mwanamke mzuri tu kitabia na hana kiburi bali wewe ulikuwa unamchanganya na maamuzi yako ambayo ndani yake yamejawa ubinafsi.

Angekuwa ni mwanamke kiburi asinge kubali kubeba ujauzito wako akijua wewe haupo kazini, kwani ni wanawake wangapi hutoa ujauzito kimya kimya, ila huyu akaona ni heri akorofishe wazazi wake ili akupe wewe mtoto, it means alikuwa tayari kwa lolote kwaajiri yako na alijitoa kwako ili awe na wewe.

Ulifanya vema kulea ujauzito ila ukaja kuzingua kwa kuamua kimpeleka chuo mbali na wewe(kumbuka umeshapata kazi na unajitegemea) mbaya zaidi ukamtenganisha na mtoto wenu wa umri wa miezi nane. Hivi kwa mtu unaejali mahusiano unaweza fanya hivi kwa mwanamke ambaye amegombana na wazazi wake ili awe na wewe?!

Ulishindwa nini kumtafutia chumba akae na mtoto wenu na beki tatu alee huku akisoma?!

Au kwann haukutafuta chuo Dar asome chochote ila aishi kwa mama yako akilea mtoto wenu na kuwa karibu na mama yako?!

Au ulishindwa nn kumchukua uishi nae hapo ulipokuwa mlee mtoto pamoja huku akisoma chuo kilichopo hapo karibu?!

Sasa unajiweka mbali na mtoto wa watu halafu unataka afanye maamuzi kwa kukusikiliza wewe, kama nani yake sasa?!

Kwamba ukishampa ujauzito na unamkalia mbali hivyo basi automatically anatakiwa kuishi kama robot akisikilizia nini utasema next na mnakaa mikoa mbali tena kwa makusudi yako kabisa.

Kwa nilichokiona katika maelezo yako wewe una mahusiano ya kimabavu fulani hivi, au tuseme haukuwa kiongozi mzuri kwa huyo binti. Binti uliyempata alikuwa ni mtiifu sana kwako na alikuwa ni wife mzuri tu ila ulifeli kumpa muongozo wa kesho yake na wewe ipo wapi. Kumlipia kodi, au kuhudumia mtoto haiwezi mpa guarantee kuwa utakuwa mumewe sababu matendo na mipango yako havikuwa na uhakika kwake kuwa unamhitaji.

Namna nzuri ya kumuonyesha mwanamke kuwa unampenda ni kuwa nae karibu na kuishi nae na kumuonyesha kuwa kila unachofanya ni kwaajiri yenu wawili na yeye ni kipaumbele chako.

Sasa mnatia ujauzito watoto wa watu halafu mnawakwepa kwepa , kisha unakuja hapa kumlamu, sasa amekukosea nini huyo binti?! Si ungemuacha ajisomee pengine angekuwa ameshaolewa na ana familia yake somewhere muda huu.

Ila umeshamzalisha, umetafutiza visa, now umemuacha solemba, haya nani akamuoe sasa na umeshamtia doa la kuwa na mtoto na wewe ile hali hautamuoa....?!

Katubu hiyo dhambi na umtafute umuombe msamaha na uhakikishe unamsaidia kuweka maisha yake sawa na huyo mtoto akae nae sio kumsumbua mama yako utadhani mtoto hana mama yake.

Wewe ndie mkorofi , huyo binti wala si maneno ndio yanayompa jeuri ni matendo na maamuzi yako ya kibabe kumuonea.
Mkuu, japo uzi ni wasiku nyingi kidogo, sijawahi kuona haya maoni yako.

Anyway, inawezekana nilikuwa na madhaifu pia.
 
Back
Top Bottom