Tuliowahi kusomesha Wachumba na hatujawaoa. Tukutane hapa

Warudi lini?

Unamisika ujue
 
Kwahiyo mtu akikutana na mwanamke ambaye amekwama kifedha na kushindwa kuendelea na masomo basi asimsaidie na wala asimpe msaada wowote?!

Mfumo dume ni kitu gani kwanza?!

Ni tofauti na kumsaidia huyo unayemuita amekwama kifedha, ni jambo jema ila ukilifanya kwa malipo ya kumuoa huo sio msaada tena…. ni mkataba au utumwa kwake.
 
Mkuu, japo uzi ni wasiku nyingi kidogo, sijawahi kuona haya maoni yako.

Anyway, inawezekana nilikuwa na madhaifu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…