Tuliowahi kutongoza mademu mijeda wakiwa kwenye gwanda tubadilishane uzoefu

Baba umekwishaa.
Mimi nilimtongoZa mjeda kwenye dala dala hivyo hivyo.
Akachukua hashtag yangu

Akakaa kama wiki hajanitafuta.
Ila nilimuelekeza ninapoishi .
Kumbe cheupe mjeda alipoteza # yangu kwa hio alikuwa anatafuta muda aje mitaa yangu kunisorora.
J2 asubuhi natoka zangu church ila nakatisha kwenye resta moja ambayo ndio nilimpa direction akasema anapajua nakuta gwanda mbili zimenyuti.

Kucheki sura moja naifaham na inatabasamu.

Nikajivuta taratibunikasalimia kwa heshima sana.

Huku nikijichekesha chekesha.

Nikauliza kuwa namba umepoteza nini akasema ndio.

Basi tukakaa pale wakapiga supu fresh.
Ila plan zangu nikasema hapa hata kwa dawa siwapeleki skani.

Manake huyu anaweza hata akazuka mida ya naiti kali ikawa nongwa.

Stori mbili tatu wakasepa zao nikasave na namba yake.

Basi zikaanza text kwa sana (hapendi whatsapp)
Nikamvuta mtoto kwenye lodge moja akala mijeledi.

Mjeda alikuwa mtamu balaa.
Hanaga ille mambo ya nimechoka.
Ila alikuwa ananishushia kipigo sana.
Nikichelewa tu sehemu dakika tano basi ujue laZime nile mateke.

Hii issue ilikuwa inaniumiza sana.
Sku moja tupo The game yeye yupo kwenye gwanda mimi kawaida ila watu wote wakituangalia unaeza ukadhani kuwa sisi wote ni wajeda.

Basi nikawa nasorora chura moja matata ambayo ilipota pembeni yetu.

Aisee nilikula teke moja chini.
Wale wafanya kazi wakapotea na wateja wote wakapotea.

Nikajifanya mdogo.
Akasema na tukitoka hapa tunaenda wote kwako moja kwa moja.
Nikasema poa .

Kwenye counter nikalipa kwa kadi na ile kadi nikampa nikamwambia kaa nayo.
Akaichukua.

Tukivyofika pale pembeni ya kfc nikamwambia ngoja niende tigo shop nakuja agiza msosi.

Nikatembea sijarudi tena.

Nikawapigia sim FNB bank kuwa ninepoteza kadi ya sim na ile mitaa nilikuwa nimebakiza kodi ya mwezi baada ya wiki nikahama.

Love you dada mjeda
 
Hii ni kwa nia njema tu ya kutaka tupeane eksipiriensi ya kutongoza wanawake mijeda hasa wakiwa kwenye zile gwanda zao zile.

Ni jana tu,
Nimeshuka zangu kwenye daladala mitaa ya Survey, nikaingia steshenari kununua peni 1 ya mbili aina ya Obama na plain paper ya Sh. 100 ili niandike barua yangu ya kuomba hizi nafasi za kazi za TANESCO zilizosambaa mitandaoni hizi.

Sasa ile natoka steshenari tu namwona mdada wa makamo, mwenye shepu matata,
Na hips noma kama za sanchoka.

Aliponipita nd'o nikashuhudia video vya bure kabisa,
Yaani wezere linavaibreti ndani ya gwanda mithili ya tetemeko la ardhi lenye kani mnyanyuo ya juu inayoriakti na kani msukumo.

Pale ikabidi nimkimbilie fasta, na uzuri ni kwamba upande aliokuwa anaelekea wa kule Chuo Kikuu cha Ardhi hakukuwa na watu wengi.

Nilipomkaribia,
Nikamsabahi kwa unyenyekevu wa kiwango cha flyover,
Huku nimewekeka mikono kifuani kama 'Baba Paroko' wa Parokia ya Magwepande.
Bila ajizi nikajitambulisha,
Nikamwomba radhi kwa usumbufu,
nikamwambia naomba nimuulizie mambo kadhaa na anipe mwongozo kuhusu hizi nafasi za jeshi zilizotangazwa ili na mimi niombe.

Binti (mjeda) akatabasamu sana,
Akaniambia
"You look so decent guy,
And this country needs people your kind.
You just apply as it has been announced- you'll get selected."

Akaendelea kutabasamu.
Nikaona hapahapa nd'o pa kutupia kipengele cha tongozo hapa!!!
Mdogomdogo nikaanza kumhamisha kwenye mada na kumsogeza tongozoni taratiiibu na mosheni ikabadilika mithili ya chupa ya togwa iliyokuwa juani inapohamishiwa kivulini!!!

Mtoto (mjeda) hakukubali wala hakukataa.
Akaniambia;
"I can see we need to have a time to talk. May I have your address so that I can trace you by tomorrow".

Nikampa namba yangu ya Airtel fasta,
Tukaagana kwa bashasha huku nikiwa nafurahi, nashangilia na kurukaruka!!!

Yaani tangu jana usingizi ni wa mang'amung'amu kichizi nikitafakari ule ujasiri wa kumwendea The Lady Jeda.

Sasa jioni hii kanitext kaniambia niende mitaa flani karibu na kambini kwao, kisha tuondokoke sote kuja kitaa- bado sijamjibu.

---------
Sasa wakuu nipeni eksipiriensi-
Hapo kuna dalili njema hapo?
Hasa kwenye hiki kipengele cha kuitana mitaa ya jirani na kambini??
Hongera sana mkuu kwa kuopoa mjeda
 
Soooo
 
Natamani siku moja nigegede traffic police akiwa kavalia sare yake lakini mimi nikiwa nimevalia ile kofia yake.

Kuna kale ka afande Hadija kembamba keusi pale Mbezi Louis huwa natamani hili tukio awe ni yeye.

Afande Hajida kama upo humu JF naomba ni PM au kama kuna mtu ana namba zake au anamjua naomba namba au naomba mumwambie
Mkuu kaa mbali na uyo askari
 
Baba umekwishaa.
Mimi nilimtongoZa mjeda kwenye dala dala hivyo hivyo.
Akachukua hashtag yangu

Akakaa kama wiki hajanitafuta.
Ila nilimuelekeza ninapoishi .
Kumbe cheupe mjeda alipoteza # yangu kwa hio alikuwa anatafuta muda aje mitaa yangu kunisorora.
J2 asubuhi natoka zangu church ila nakatisha kwenye resta moja ambayo ndio nilimpa direction akasema anapajua nakuta gwanda mbili zimenyuti.

Kucheki sura moja naifaham na inatabasamu.

Nikajivuta taratibunikasalimia kwa heshima sana.

Huku nikijichekesha chekesha.

Nikauliza kuwa namba umepoteza nini akasema ndio.

Basi tukakaa pale wakapiga supu fresh.
Ila plan zangu nikasema hapa hata kwa dawa siwapeleki skani.

Manake huyu anaweza hata akazuka mida ya naiti kali ikawa nongwa.

Stori mbili tatu wakasepa zao nikasave na namba yake.

Basi zikaanza text kwa sana (hapendi whatsapp)
Nikamvuta mtoto kwenye lodge moja akala mijeledi.

Mjeda alikuwa mtamu balaa.
Hanaga ille mambo ya nimechoka.
Ila alikuwa ananishushia kipigo sana.
Nikichelewa tu sehemu dakika tano basi ujue laZime nile mateke.

Hii issue ilikuwa inaniumiza sana.
Sku moja tupo The game yeye yupo kwenye gwanda mimi kawaida ila watu wote wakituangalia unaeza ukadhani kuwa sisi wote ni wajeda.

Basi nikawa nasorora chura moja matata ambayo ilipota pembeni yetu.

Aisee nilikula teke moja chini.
Wale wafanya kazi wakapotea na wateja wote wakapotea.

Nikajifanya mdogo.
Akasema na tukitoka hapa tunaenda wote kwako moja kwa moja.
Nikasema poa .

Kwenye counter nikalipa kwa kadi na ile kadi nikampa nikamwambia kaa nayo.
Akaichukua.

Tukivyofika pale pembeni ya kfc nikamwambia ngoja niende tigo shop nakuja agiza msosi.

Nikatembea sijarudi tena.

Nikawapigia sim FNB bank kuwa ninepoteza kadi ya sim na ile mitaa nilikuwa nimebakiza kodi ya mwezi baada ya wiki nikahama.

Love you dada mjeda
Teh teh teh! Naichukua picha alivyokulamba teke ukaenda chini teh!! Pole sana mkuu!!

Mie wangu alikuwa polite sana ila akihisi kuna bint namzengea aisee yule binti ataipata.

Alinifanya nifahamike kwa mabinti na waniogope sana hata salamu zangu hawapokei
 
Hahahhahahahahaha

Eti experience hasa kwenye hiki kipengele cha kukutana karibu na kambini....
 
Utajipeleka mtegoni mwenyewe! Simu atampa mume wake mjeshi au mtu wake mjeshi na utawasiliana naye Kwa SMS kisha atakudaka vizuri!!! Wengi walishalizwa Kwa mtindo huo na wakajikuta wanakula mkong'oto wa nguvu na kulazimika kutoa pesa ili waachiwe maana hutishiwa kupelekwa mahakamani Kwa kushawishi "wake" za watu! Kijana pole umeliwa!
 
Natamani siku moja nigegede traffic police akiwa kavalia sare yake lakini mimi nikiwa nimevalia ile kofia yake.

Kuna kale ka afande Hadija kembamba keusi pale Mbezi Louis huwa natamani hili tukio awe ni yeye.

Afande Hajida kama upo humu JF naomba ni PM au kama kuna mtu ana namba zake au anamjua naomba namba au naomba mumwambie
JF,kuna v2ko sana...,naona watu wameshaanza kuitania serikali!
 
Back
Top Bottom