Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu mi na Depal 🤣🤣
 
Nimeacha kuchati muda maana na huu uzee kila nikiwa na michepuko najikuta namtumia meseji mke wangu kipenzi badala ya mahawala , basi kila nikirudi nyumbani wa ubani kanuna .


Nikiuliza shida ni nini ? Naoneshwa meseji ubaya nawaahidi vitu vizuri vizuri na mke wangu anajua fika hii meseji sio yake maana ninavyoahidi yeye anavyo .

Nikajiapiza kuwa kila meseji kwenye simu ikiingia mimi nikupiga tu .

Ikafika mahali michepuko ikahisi sipendi kuchati kumbe napenda ila sasa uzee tabu nachanganya mafile .


Old is gold yote yalipita sasa niko na mke wangu tunaenjoy japo uwa anakumbushia ushamba wangu wa kuchanganya meseji tunacheka anaishia kusema wewe lizee lijinga sana [emoji3][emoji3]
 
Hahahahhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…