Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Dada yangu alikua na boyfrind wake,story za kitaa ilikua inasemekana jamaa huwa anakujaga home kumgegeda kukiwa hakuna mtu,..daaa ilikua inaniuma kinoma' Siku hiyo mida kama ya saa 3 usiku nikaiba simu ya sister nikamtumia text jamaa' Baby kama unaweza njoo nyumbani nipo mwenyewe hakuna mtu wote wameenda kwenye harusi watarudi kwenye saa 7 usiku hivi', njoo nikupe cha fasta, jamaa akajibu nakuja, nikamwambia ukifika we zama tu ndani then nikafuta text zote nikarudisha simu nilipoitoa,,,ukwiru noma asee dk kama 15 hivi jamaa si akafungua mlango kazama ndani bila hodi akatukuta familia nzima tupo mezani tunakula' watu wote macho kwake ,jamaa akaduwaa na ukimya ukatawala kama nusu dakika hivi' hana cha kuongea ,mwisho akapata akili ya kutoka nduki"""" ahahha ilibidi nitoke nikachekee chooni,

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah we jamaa uliuwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Legendary
Nimeanza kumuelewa mshkaji wangu sasa.Yy ana madem kama wa 5 biv na wote anasema anawapenda.Ila sheria yake ya siku zote ni kwamba NEVER TEXT. Akitumiwa message yy hajib ila atapiga tu cm muongee mpaka mmalize.Hanaga kabisa utaratib wa message kwa madem kukwepa mambo kama haya.
 
Dada yangu alikua na boyfrind wake,story za kitaa ilikua inasemekana jamaa huwa anakujaga home kumgegeda kukiwa hakuna mtu,..daaa ilikua inaniuma kinoma' Siku hiyo mida kama ya saa 3 usiku nikaiba simu ya sister nikamtumia text jamaa' Baby kama unaweza njoo nyumbani nipo mwenyewe hakuna mtu wote wameenda kwenye harusi watarudi kwenye saa 7 usiku hivi', njoo nikupe cha fasta, jamaa akajibu nakuja, nikamwambia ukifika we zama tu ndani then nikafuta text zote nikarudisha simu nilipoitoa,,,ukwiru noma asee dk kama 15 hivi jamaa si akafungua mlango kazama ndani bila hodi akatukuta familia nzima tupo mezani tunakula' watu wote macho kwake ,jamaa akaduwaa na ukimya ukatawala kama nusu dakika hivi' hana cha kuongea ,mwisho akapata akili ya kutoka nduki"""" ahahha ilibidi nitoke nikachekee chooni,

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Read my signature below [emoji116]

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Nimecheka balaa
Mi nakumbuka nilipambana kutoa betrii nikasahau simu hata haina mfuniko,
batan ya power nayo haishikikiiii, message icon ni kama inatelezaa, sijakaa vizuri naambiwa "message delivered".

Nilichofanya ni kuendelea kujichatisha maneno kama yale yalee,
halafu mwishoni nikamwambia: "nijibu haraka hamna umeme nimeomba tuu simu nikaweka laini kwa rafiki yangu hapa anataka aichukue".

Ujinga mwingne ni WhatsApp, ile ku-set popup message, una-type unamjibu huyu kwenye ku-send ishaingia nyingnee inaunga.

Haya mambo hayaaa bana, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia:
"usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni"

Aloooo hiyo kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?

usiombee uwe unasubiria akutumie ada au pocket money, alooo mpk aje kukuelewa ushakula vyakula vyote vya mifugo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nakatongaza kademu kitaani nimekapanga vizuri nikawa naelekea home nimebakiza kama mita mia tatu hivi kufika si nikamtumia mshua bwanaa bwanaaa niligeuka farasi sjui Lamborghini niliamsha yaan sms inafika simu inalia na mimi naingia bahati nzuri ilikuwa sebulen dingi anatizama habari nikajipigisha simu nikafanya kama mtu ananipigia kunitajia no nikaichukua kama nacopy namba nikafuta sms
hujaeleweka
 
Dada yangu alikua na boyfrind wake,story za kitaa ilikua inasemekana jamaa huwa anakujaga home kumgegeda kukiwa hakuna mtu,..daaa ilikua inaniuma kinoma' Siku hiyo mida kama ya saa 3 usiku nikaiba simu ya sister nikamtumia text jamaa' Baby kama unaweza njoo nyumbani nipo mwenyewe hakuna mtu wote wameenda kwenye harusi watarudi kwenye saa 7 usiku hivi', njoo nikupe cha fasta, jamaa akajibu nakuja, nikamwambia ukifika we zama tu ndani then nikafuta text zote nikarudisha simu nilipoitoa,,,ukwiru noma asee dk kama 15 hivi jamaa si akafungua mlango kazama ndani bila hodi akatukuta familia nzima tupo mezani tunakula' watu wote macho kwake ,jamaa akaduwaa na ukimya ukatawala kama nusu dakika hivi' hana cha kuongea ,mwisho akapata akili ya kutoka nduki"""" ahahha ilibidi nitoke nikachekee chooni,

Sent using Jamii Forums mobile app
out of points

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja nilikua nachat na demu flan tufanye anaitwa vv, nikampanga akatiki kuja night. Sasa nikawa namtext jamaa angu kwamba "Vv anajiletaleta na usiku anakuja gheto nipige". Sms nikaituma kwa vv bahati mbaya.

Nikatoa betri, kuja kurudisha naona delivery report sms ishaenda. Nikamtumia text nyingine kwamba hiyo sms nimetumiwa kutoka namba flan nikamtumia na linamba la uongo halipatikani kwamba ndo lilinitumia hiyo sms nikaamua kuifowad kwake labda angeielewa. Demu alibishabisha but alikuja kurudi kingi japo sio kipind hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp wewe mara yko ya Kwanza mama yako KUKUPA gemu ulijisikiaje?

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020

Mi sijawahi mtongoza Mama wangu kwani ninajuwa mipaka yangu, wewe umemtongoza maza kusingizia umekosea kumbe ndiyo ilikuwa nia yako kumpima, wanawake wote hawa huwaoni mpaka maza wako jamani?
 
Daah nimekumbuka niliwah kumtumia sms father kimakosa..Ilikua sms maalumu kwa ini mkalia nyongo wangu.
Laaulah ikatua kwa father,,ilibidi nichune kimyaaa ,,kila nikimuona father nazuga tu..Wala hatukuulizana ,,Aibu tupu
 
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena. Nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu fulani hivi [emoji23], bahati mbaya ikaenda kwa B. mkubwa. SMS yenyewe ilikuwa ni zile za kulazimisha kuomba show (sex); niliandika SMS yenye maneno mazuri mno, alafu ile sijaangalia vizuri, nikaituma hapohapo ikaandika "sms delivered". Daah! macho yalinitoka balaa. Haikupita dakika mbili mama anapiga simu na alikuwa mtu wa dini kwelikweli; simu inaita jasho linanivuja nawaza nimdanganye nini. Kuna SMS zingine hata kama mzazi anajua mwanangu amekua sasa, lazima zitakutia aibu. Nikapokea simu mama anasema "Mwanangu nini sasa hiki na wewe? Maliza masomo yako ya chuo kwanza, mapenzi yapo tu kila siku , ngono zitakuua baba"

Ile fedheha siwezi kuisahau kabisa.
Hahahahaha..
"Ngono zitakuua baba"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu alikua na boyfrind wake,story za kitaa ilikua inasemekana jamaa huwa anakujaga home kumgegeda kukiwa hakuna mtu,..daaa ilikua inaniuma kinoma' Siku hiyo mida kama ya saa 3 usiku nikaiba simu ya sister nikamtumia text jamaa' Baby kama unaweza njoo nyumbani nipo mwenyewe hakuna mtu wote wameenda kwenye harusi watarudi kwenye saa 7 usiku hivi', njoo nikupe cha fasta, jamaa akajibu nakuja, nikamwambia ukifika we zama tu ndani then nikafuta text zote nikarudisha simu nilipoitoa,,,ukwiru noma asee dk kama 15 hivi jamaa si akafungua mlango kazama ndani bila hodi akatukuta familia nzima tupo mezani tunakula' watu wote macho kwake ,jamaa akaduwaa na ukimya ukatawala kama nusu dakika hivi' hana cha kuongea ,mwisho akapata akili ya kutoka nduki"""" ahahha ilibidi nitoke nikachekee chooni,

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mzee unamfuatilia Elijah mohammad?
 
Back
Top Bottom