Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

We ni Ms*nge
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mshua kuna siku alinizingua nikamsave “ndezi” mwanzoni kabisa hizi apps zilikuwa zinakuletea option ya ku re commend kutuma kwa wengine wajiunge mimi nikaselect contact zote, kumbe ile app ina copy hadi jina kwenye simu linaunganisha kwenye text, mfano nimesave jina lako megapixel inakutumia meseji “megapixel flani invite you”. Daah siku ilikuwa ndefu maana mshua alinitext nani ndezi
 
Kuna mzee nilikuwa na bargain nae kuhusu kumuuzia bidhaa flan. Sasa huku nikiwa nawasiliana na jamaa kumueleza jinsi nnavyo muingiza huyo mzee king.

Sasa nkawa nmemtajiia bei ya juuu. At the same time nmemtumia jamaa yangu msg kuwa nshamuingiza king mteja nasubiri anipe jib nile bingo.

Dah ile msg ikakosea ikaenda kwa mzee mhusika. Dah nilichokiona ni derivery riport.

Dah nilitaman ardh ipasuke maana mzee alikuwa mteja saana na ananiheshim saana. Akanipigia simu akasema nmpelekee bidhaa. Nilijisikia aibu saama
eehhh kwahiyo iliendeleaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P, Bi. mkubwa. Moja ya matukio ambayo maza aliniokoa ni hili kukosea message halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzuri muda huo maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akaifuta bila mshua kujua. Huwezi amini ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende Kigamboni eti niliyekuwa namdai kanilipa. Kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo; nilipewa risala kali na asubuhi tukaongozana na Bi mkubwa hadi CRDB Azikiwe branch kuweka ile hela.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mshua kuna siku alinizingua nikamsave “ndezi” mwanzoni kabisa hizi apps zilikuwa zinakuletea option ya ku re commend kutuma kwa wengine wajiunge mimi nikaselect contact zote, kumbe ile app ina copy hadi jina kwenye simu linaunganisha kwenye text, mfano nimesave jina lako megapixel inakutumia meseji “megapixel flani invite you”. Daah siku ilikuwa ndefu maana mshua alinitext nani ndezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787]
Niliwahi safiri na Manzi hivi kukazi tukiwa kama team ila bahati mbaya tutatenganishwa baadae wao wakaenda mkoa mwingine. Sasa kuna mshkaji wangu nilimpa kazi ya kumchunguza wakiwa uko. Asubuh nikatuma msg huyo malaya wangu jana kalala saa ngapi matokeo yake badala kutuma kwa mshkaji nikatuma kwa manzi na uhusiano wetu ukaishia hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mnanianya nicheke mpaka basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku moja tulikua sebuleni tunacheki movie,nilikua mimi,sister angu kanizidi miaka kama miwili hivi alaf na mshua sasa,,Movie yenyewe ni Spartacus kila muda ni sexy scene,,Ile imefikia Scene watu wananyanduana nikamcheki mshua anajifanya haoni eti anaangalia simu yake,kumcheki Dada nae akanicheki mimi uku akinionesha ishara ya kuipeleka movie mbele..Nikamwandikia sms sister kuwa'Mcheki mshua anazuga yuko bize na simu'Asalaaleh.!!kumbe nilikosea nikamtumia Dingilii!!Nashangaa dingi ananikata jicho kali hadi nikaenda kulala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah[emoji23][emoji23]..
mkuu umenikumbusha mbali san..
Nakumbuka enzi niko advanc shule moja uko Pwani. Ilikuwa mida ya jioni hivi niko zangu chimbo na Kinokia changu maana pale skul ilikuwa ukidakwa na simu no discation ni home tu. Niko zangu chimbo nachat na manzi mara paaaa[emoji23][emoji23].... simu inavaibret kuangalia vizur ni mshua mkubwa kanipigia mara kaniuliza "mbona namba yako iko hewani mda huu"? [emoji848][emoji848]Nikamjibu kwa kujiamini kuwa "nimeazima simu ya Mwl na kuweka chip yangu ili niwasiliane na mshua kuhusu pesa ya tumizi" mara akakata simu na kutuma pesa papo hapo. Kipind naongea nae mtot akawa anatuma text za kulalamika "Bby mbona kimy?" Mara "Bby jmn nijibu" mara tena mshua mkubwa katuma text "Umeiona pesa niliyokutumia?" [emoji24][emoji24][emoji120][emoji120]Mkuu nikajichanganya kweny kujibu text iliyokuwa inatakiwa nimjibu manzi ndio nikamjibu mshua mkuuuu asikwambie mtu nilitaman kuikimbiza hiyo text[emoji24][emoji24] kilichofata hapo daaaahhhh huwa nikikumbuka naumia san ...mpak leo mshua mkubwa huwa ananikumbusha hiyo kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu alikua na boyfrind wake,story za kitaa ilikua inasemekana jamaa huwa anakujaga home kumgegeda kukiwa hakuna mtu,..daaa ilikua inaniuma kinoma' Siku hiyo mida kama ya saa 3 usiku nikaiba simu ya sister nikamtumia text jamaa' Baby kama unaweza njoo nyumbani nipo mwenyewe hakuna mtu wote wameenda kwenye harusi watarudi kwenye saa 7 usiku hivi', njoo nikupe cha fasta, jamaa akajibu nakuja, nikamwambia ukifika we zama tu ndani then nikafuta text zote nikarudisha simu nilipoitoa,,,ukwiru noma asee dk kama 15 hivi jamaa si akafungua mlango kazama ndani bila hodi akatukuta familia nzima tupo mezani tunakula' watu wote macho kwake ,jamaa akaduwaa na ukimya ukatawala kama nusu dakika hivi' hana cha kuongea ,mwisho akapata akili ya kutoka nduki"""" ahahha ilibidi nitoke nikachekee chooni,

Mkuu unapaswa uendelee kutuambia baada ya hapo nin kilitokea kwa sister?Na je ulikuja mwambia mchongo uliuchonga wew?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu alikua na boyfrind wake,story za kitaa ilikua inasemekana jamaa huwa anakujaga home kumgegeda kukiwa hakuna mtu,..daaa ilikua inaniuma kinoma' Siku hiyo mida kama ya saa 3 usiku nikaiba simu ya sister nikamtumia text jamaa' Baby kama unaweza njoo nyumbani nipo mwenyewe hakuna mtu wote wameenda kwenye harusi watarudi kwenye saa 7 usiku hivi', njoo nikupe cha fasta, jamaa akajibu nakuja, nikamwambia ukifika we zama tu ndani then nikafuta text zote nikarudisha simu nilipoitoa,,,ukwiru noma asee dk kama 15 hivi jamaa si akafungua mlango kazama ndani bila hodi akatukuta familia nzima tupo mezani tunakula' watu wote macho kwake ,jamaa akaduwaa na ukimya ukatawala kama nusu dakika hivi' hana cha kuongea ,mwisho akapata akili ya kutoka nduki"""" ahahha ilibidi nitoke nikachekee chooni,

Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀
 
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena. Nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu fulani hivi [emoji23], bahati mbaya ikaenda kwa B. mkubwa. SMS yenyewe ilikuwa ni zile za kulazimisha kuomba show (sex); niliandika SMS yenye maneno mazuri mno, alafu ile sijaangalia vizuri, nikaituma hapohapo ikaandika "sms delivered". Daah! macho yalinitoka balaa. Haikupita dakika mbili mama anapiga simu na alikuwa mtu wa dini kwelikweli; simu inaita jasho linanivuja nawaza nimdanganye nini. Kuna SMS zingine hata kama mzazi anajua mwanangu amekua sasa, lazima zitakutia aibu. Nikapokea simu mama anasema "Mwanangu nini sasa hiki na wewe? Maliza masomo yako ya chuo kwanza, mapenzi yapo tu kila siku , ngono zitakuua baba"

Ile fedheha siwezi kuisahau kabisa.

Je, ulipomaliza shule maza alikupa gemu?
 
Nilikuwa nakatongaza kademu kitaani nimekapanga vizuri nikawa naelekea home nimebakiza kama mita mia tatu hivi kufika si nikamtumia mshua bwanaa bwanaaa niligeuka farasi sjui Lamborghini niliamsha yaan sms inafika simu inalia na mimi naingia bahati nzuri ilikuwa sebulen dingi anatizama habari nikajipigisha simu nikafanya kama mtu ananipigia kunitajia no nikaichukua kama nacopy namba nikafuta sms
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaa hii kali kuliko

Back
Top Bottom