el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Wakuu nikiwa advance soon after completion nkampanga dem had jna la guest s nkamtumia mzee .Mara akapgaaa nlizmia maasaaa10000
š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nikiwa advance soon after completion nkampanga dem had jna la guest s nkamtumia mzee .Mara akapgaaa nlizmia maasaaa10000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi nakumbuka nilipambana kutoa betrii nikasahau simu hata haina mfuniko,
batan ya power nayo haishikikiiii, msg icon n km inaterezaa, sijakaa vizur naambiwa msg derivered,
nilichofanya ni kuendelea kujichatisha maneno km yale yalee,
halaf mwishoni nikamwambia...
'nijibu haraka hamna umeme nimeomba tuu simu nikaweka laini kwa rafk yangu hapa anataka aichukue'.
Ujinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?
usiombee uwe unasubiria akutumie ada au pocket money, alooo mpk aje kukuelewa ushakula vyakula vyote vya mifugo.
[emoji23][emoji23]hii umetungaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sorry nje ya mada kidogo ila scenario zinafanana sana, jamaa yangu 1 ana mambo mengi sana kama unga wa ngano.. juzi kati niilimuomba ile video ya bi dada Meny,, hasa badala anitumie inbox kumbe anaipost status (afu kideo yenyewe ndo ile bi dada anakatikia mkunyenge) jamaa kaipost watu wana i view mwana hana hata habari anashangaa simu ya mzee wake inaingia si muda bi mkubwa wake nae kampigia.. Sms za ndugu zake ma aunt, wajomba ndio usipime.. Mwana alienda chooni kuharisha ghafla aka delete acc ya whatsapp huko huko toilet
Sorry nje ya mada kidogo ila scenario zinafanana sana, jamaa yangu 1 ana mambo mengi sana kama unga wa ngano.. juzi kati niilimuomba ile video ya bi dada Meny,, hasa badala anitumie inbox kumbe anaipost status (afu kideo yenyewe ndo ile bi dada anakatikia mkunyenge) jamaa kaipost watu wana i view mwana hana hata habari anashangaa simu ya mzee wake inaingia si muda bi mkubwa wake nae kampigia.. Sms za ndugu zake ma aunt, wajomba ndio usipime.. Mwana alienda chooni kuharisha ghafla aka delete acc ya whatsapp huko huko toilet
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa tupe mrejesho ilikuajeehaya mambo ya kumsave demu "mamy,,,"(tina,happy..or pendo) na mama kumsave "mamy" yalishaniponza...ile nyege zimenishka na mtoto wa watu anamori,,nikaandka, baby uwahi guest leo ntakukunja kama kambale..badala ya kusend kwa mamy tina,,nkasend kwa "mamy" ambae ni mama....asa nashangaa majibu hayaji na haikua smartphone..na huku home nlisem.. naenda church..weee nlichokaa
Ilinimutaga hiyo, kuna demu nilikua nina mahusiano nae na nilikua nampenda sanaa, siku akakosea sms ya jamaa yake mwingine akatuma kwangu. Nilichofanya ni kumtafuta kwa namba nyingine nikamwambia nimeibiwa simu, ila nikipiga haipokelewi, ili asijue kua nimeiona sms yake, na yeye wala hakusema kua alikosea sms ilipita kama wiki 2 hiv tukaja kuonana na nina simu ileile, alikua mpoleee na mm wala sikumuulizaKuna siku manzi angu alikua anachat na kabishoo kake kanaitwa ka Rahim sijui!!Si akatuma kwangu et"Raheem nakupenda sana naomba usiniumize plz"Nikajua tu uyu boya kazama chakiume,nikamjibu"Duh.!Ilo jina la Raheem umenibatiza lini mamiloo?"akajichekesha kinafiki uku ana vibrate et analipenda tu ilo jina anapenda awe ananiita ivo au tukizaa mtoto tumuite Raheem,Nilichofanya ni kumualika ahudhurie geto anibatize rasmi ilo jina,Nilimhondomola kinyama alaf nikamtema apo apo.
Alifuta ila ule muda wa simu kuingia kuongea status ilimaliza dakika kadhaa hadi anaifuta viewers walikua wengi hivyo alivyofuta akaamua a delete na acc kuua soo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]angefuta videooo sasa acc si bado status itakuwepoo
Jamaa nae aliwekwa kikao but cha online sababu hakua kwao [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii noma aisee
Daaaah aibu lake si mchezo. Ilo kama ni mimi ningewekwa na kikao
Sema kuna wengine walimshukuru kimoyo moyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa nae aliwekwa kikao but cha online sababu hakua kwao [emoji23]
Siku moja tulikua sebuleni tunacheki movie,nilikua mimi,sister angu kanizidi miaka kama miwili hivi alaf na mshua sasa,,Movie yenyewe ni Spartacus kila muda ni sexy scene,,Ile imefikia Scene watu wananyanduana nikamcheki mshua anajifanya haoni eti anaangalia simu yake,kumcheki Dada nae akanicheki mimi uku akinionesha ishara ya kuipeleka movie mbele..Nikamwandikia sms sister kuwa'Mcheki mshua anazuga yuko bize na simu'Asalaaleh.!!kumbe nilikosea nikamtumia Dingilii!!Nashangaa dingi ananikata jicho kali hadi nikaenda kulala.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka 2008 hiyo nipo 6, tulikuwa tunakaa hostel na madogo wa O level humo ndani kulikuwa na makuzi hatari, hiko kipindi Xtreme ndio imepamba moto. Siku hiyo jpili tunasubiri msosi mchana kila mtu yupo dekani kwake, mara kidogo tukamuona mshikaji karuka kutoka juu dekani mpaka chini simu akairusha kitandani
Tukamuuliza vipi!? Akanipa simu niisome hizo texts zake, kuna namba mpya ikawa imeingia hakuitambua.
No mpya: hujambo?
Jamaa; sijambo, habari yako
No mpya; salama za siku
Jamaa; salama
Jamaa; nani mwenzangu?
No mpya; ur mom
Jamaa; hebu kuwa serious, nani wewe!?
No mpya; ur mom
Jamaa; sasa nikusave Ur mom au Mkumer!?
Ikaingia sms inamwambia"Umelaaniwa we mtoto yaani unaniita mimi mama yako Mkum*!!!? Na usirudi nyumbani mbwa we, utafute pa kwenda. Kumbuka hiyo likizo ya Dec ilikuwa inakaribia.
Dah aise umenichekesha sana!Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena. Nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu fulani hivi [emoji23], bahati mbaya ikaenda kwa B. mkubwa. SMS yenyewe ilikuwa ni zile za kulazimisha kuomba show (sex); niliandika SMS yenye maneno mazuri mno, alafu ile sijaangalia vizuri, nikaituma hapohapo ikaandika "sms delivered". Daah! macho yalinitoka balaa. Haikupita dakika mbili mama anapiga simu na alikuwa mtu wa dini kwelikweli; simu inaita jasho linanivuja nawaza nimdanganye nini. Kuna SMS zingine hata kama mzazi anajua mwanangu amekua sasa, lazima zitakutia aibu. Nikapokea simu mama anasema "Mwanangu nini sasa hiki na wewe? Maliza masomo yako ya chuo kwanza, mapenzi yapo tu kila siku , ngono zitakuua baba"
Ile fedheha siwezi kuisahau kabisa.