yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Mimi niliwahi kuugua tb ya mapafu, nikaja kugundulika ,nnayo nikiwa hoi, maana mwanzoni nilidhani ninamarelia. Asikwambie mtu ,huu ugonjwa ni hatari. Nilikonda kama MTU mwenye HIV, Hata kutembea ilishindikana...ubaya Wa huu ugonjwa unaambukizwa kwa hewa au Hata vyombo vya chakula...ila nashukuru nimepona kwa kupewa matibabu ya bure kutoka kwa serikali...thanx God!