Tuliowahi kuugua TB kuja hapa

Tuliowahi kuugua TB kuja hapa

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Mimi niliwahi kuugua tb ya mapafu, nikaja kugundulika ,nnayo nikiwa hoi, maana mwanzoni nilidhani ninamarelia. Asikwambie mtu ,huu ugonjwa ni hatari. Nilikonda kama MTU mwenye HIV, Hata kutembea ilishindikana...ubaya Wa huu ugonjwa unaambukizwa kwa hewa au Hata vyombo vya chakula...ila nashukuru nimepona kwa kupewa matibabu ya bure kutoka kwa serikali...thanx God!
 
Kwakweli hewa tunayovuta ina vingi lakini Mungu ni mwema kutupa immune system inayopigana na vitu vingi. Unapopata maambukizi ni kuwa immune system imezidiwa.
 
Kabisa, Hata hizi daladala tunavobanana, ni hatari kwa afya zetu
 
Mimi niliwahi kuugua tb ya mapafu, nikaja kugundulika ,nnayo nikiwa hoi, maana mwanzoni nilidhani ninamarelia. Asikwambie mtu ,huu ugonjwa ni hatari. Nilikonda kama MTU mwenye HIV, Hata kutembea ilishindikana...ubaya Wa huu ugonjwa unaambukizwa kwa hewa au Hata vyombo vya chakula...ila nashukuru nimepona kwa kupewa matibabu ya bure kutoka kwa serikali...thanx God!
Mm ishanipataga hiii, nakufuata PM msg ina fail
 
Back
Top Bottom