Tuliowahi kuumwa kichwa(homa)kwa miaka mingi tupeane uzoefu na tiba mbadala

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Katika maisha haya ya mwanadamu hapa duniani tunapitia mambo mengi sana, hasa suala la afya ya binadamu.

Hivi ulishawahi kuumwa kichwa(homa) na ukajikuta mtu unaemeza dawa kila siku lakini hupati nafuu na wala hupati mabadiliko yeyote yale ya dawa ulizomeza??? Au ulishawahi fikiria kwamba unakwenda Hospital mpaka doctor anakufahamu?? Maana ni mtu wa kwenda hospital tu mpaka inafikia hatua ya doctor kukushauri ya kwamba UENDE HOSPITAL NYINGINE WANAWEZA KUKUSAIDIA ZAIDI MAANA SISI TUMESHINDWA.
Mimi ni mhanga wa hii kitu, nimeumwa kichwa tokea 2004 mpaka 2012 ndio kupata tiba sahihi na hapo ndipo maumivu ya kichwa(homa) yakawa historia kwangu mpaka ninapo toa UZI huu. Nyumbani walihangaika sana huku na huko ili kijana wao niweze kupata nafuu na kufurahia maisha licha ya umasikini wa kifamilia, lakini mambo yakawa magumu sana.

Nilipita hospital zote kuanzia morogoro mpaka hii Dar es salaam zote nimemaliza na kwakuwa kipindi hicho natumia bima ya afya ndio iliyokuwa inanipa jeuri ya kwenda hospital zote lakini mwisho wa siku sikuweza kuambua chochote, fanya vipimo mpaka vya makamasi lakini hakuna hospital yeyote ambayo iliyoweza kung'amua kwamba mimi nasumbuliwa na nini kiasi cha kunifanya nikose kabisa furaha ya maisha.

Kichwa hichi uumaji wake huambatana na joto kali sana na muda mwingin baridi kali sana, mara nyingi kichwa (homa) huuma sana nyakati za kuanzia jioni na kuendelea lakini unaweza kuamka asubuhi ukajikuta fresh kabisa lakini inapofika mishe ya saa kumi ndio hali inaanza kubadirika.

ITAENDELEA _________----
 
Uliambiwa tatzo linasababishwa na nn na ulitumia dawa gani....coz mm mwenyewe....huu ni mwaka wa saba....bado nasumbuliwa....na kichwa.....

Ni vizuri mbali na mambo mengine kupima presha, macho n.k

Tembelea madaktari wengi bila kuchoka yamkini miongoni mwao kuna mmoja Mungu atamfunulia chanzo cha tatizo kwa rehema za Mungu
 
Back
Top Bottom