Tuliowahi Kuvimbiwa kwenye sherehe..Tufarijiane jamani

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,428
Niaje!
Hivi ushawahi jitia kuukomoa msosi wa kwenye sherehe wewe? Haswa kama umeishi uswazi..

Mie miaka hiyooo kwenye sherehe ya jumuiya (wakatoliki tunaelewana) nilifakamia madikodiko hatar vile nlkua mpole nilipata aibu sana..

Miaka ya 2009 huko hahaha,wakanibeba wakaniweka nje nipigwe na upepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbao za mawe
Viatu vya samaki
Miguu ya kuku

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unamiliki viwanda vitatu mkuu?
Duh upo mistaken by the way najua huyu viatu vya samaki,mbao za mawe bado sijamuona[emoji23]
 
Hahaha huna maana wewe
Hahah mkuu Majivuno mda mwingn hayafai, jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake alikuwa anapiga, kwa kutaka kujionyesha akapokea simu na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulalianaπŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Huyo jamaa nlienda kwenye harusi yake , aisee yaliyotokea huko

Cc manengelo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu leonimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Nmerudi home hivi nikaona Leo nipulizie Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia
Kumbe wewe ni Mpishi mzuri, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sipendagiiiiii ujingaaaaaa mimi...
πŸ€πŸ’¨πŸ’¨

Cc Mwifwa

manengelo
 
We acha bwana urafi huu
Hiyo long time kitambo mkuu, hapo tabia na mwili havifanani kabisa
Chalii mwembamba lakini unapeleka msosi balaa. Maskani unapakua msosi wa mwisho tena wa kutosha halafu unamaliza kula wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…