The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Miguu ya kuku sikuelewi kabisaNiaje!
Hivi ushawahi jitia kuukomoa msosi wa kwenye sherehe wewe? Haswa kama umeishi uswazi..
Mie miaka hiyooo kwenye sherehe ya jumuiya (wakatoliki tunaelewana) nilifakamia madikodiko hatar vile nlkua mpole nilipata aibu sana..
Miaka ya 2009 huko hahaha,wakanibeba wakaniweka nje nipigwe na upepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]