Tuliowahi Kuvimbiwa kwenye sherehe..Tufarijiane jamani

Tuliowahi Kuvimbiwa kwenye sherehe..Tufarijiane jamani

Niaje!
Hivi ushawahi jitia kuukomoa msosi wa kwenye sherehe wewe? Haswa kama umeishi uswazi..

Mie miaka hiyooo kwenye sherehe ya jumuiya (wakatoliki tunaelewana) nilifakamia madikodiko hatar vile nlkua mpole nilipata aibu sana..

Miaka ya 2009 huko hahaha,wakanibeba wakaniweka nje nipigwe na upepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miguu ya kuku sikuelewi kabisa
 
Kulikua na sherehe home, aisee nilipiga msosi huo mixer soda bila kuchagua coke,Pepsi ,seven up, fanta orange,passion,sprite ,Mpaka nikalia Kwa kuvimbiwa kulala siwezi,kukaa shida,kulikua na mziki (disco)linaendelea, hata sijaenjoy,aisee[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,nilikomaa
 
Hahah mkuu Majivuno mda mwingn hayafai, jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake alikuwa anapiga, kwa kutaka kujionyesha akapokea simu na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulaliana😆 😆 😆 😆 😆 😆 😂 😂 😂 😂

Huyo jamaa nlienda kwenye harusi yake , aisee yaliyotokea huko

Cc manengelo
Kumbe miguu ya kuku ameshafariki?
 
Back
Top Bottom