muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
- Thread starter
-
- #21
Hahahaaa, ila huo utaratibu ulikuwa mzuri sana. Vipi lakini, na wewe walikukoa mkuu?Tulikuwa na utaratibu wetu ambao nikikutoa chawa mmoja nakukoa konzi moja, nikivunja mayai mawili nakukoa konzi moja.
Hahahaaa, ila huo utaratibu ulikuwa mzuri sana. Vipi lakini, na wewe walikukoa mkuu?
Chawa wakoje??
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Chawa sio wazuri aiseee. Kila muda unakuwa unajikuna kama unapiga gitaa.
Usijizuie mkuuNahisi kutapika humu.
Hizi trends za threads za TUKUTANE HAPA zinaelekea kubaya sasa....
Duh unanikumbusha tosa boys hiyoMambo vipi watemi?
Ebanaee tulio wahi kuwa na chawa tukutane hapa tubadilishane uzoefu. Binafsi nilipokuwa mdogo mpaka darasa la pili nilikuwa na chawa wengi sana kiasi kwamba kichwa kilikuwa cheupe kama mvi kwa sababu ya mayai ya chawa. Basi bibi alikuwa ananiita halafu anazitafuna nywele zangu ili kuvunja mayai ya chawa.
Vipi uzoefu wako!
Nasikia wapo wanaoitwa "maku" chawa! Sijui wakoje?Nimesikia baridi sana,nakumbuka wahindi niliosomanao dah aisee.
Waliniambia pia wako chawa wa mavuzi,nilipokuwa Delhi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]kunguni ni noma yule msela anajua kula na kipofu ....akiona unafurukuta tu anatuliza ball yaani anakuwa ameshajua kuwa amekupa vitu hivyo anasubiria tena upate usingizi ili aendeleze mechi