Tuliowahi kuwa na chawa tukutane hapa

Tuliowahi kuwa na chawa tukutane hapa

Chawa kwa kweli ni uchafu tu japo wazazi walisema eti Damu inapendwa na Chawa. Nilikuwa na wote kichwani na nguoni, weupe kwa weusi, na funza miguuni, hatari sana kwakweli sipendagi nikumbuke aiseeee.
Hahahaaaa, mkuu wewe ulikuwa ni hatari! Tuwekee picha yako ya enzi hizo basi [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Aisee, chawa waliniepuka hata nikiwaona siwajui, hawajawahi kukatiza angle zangu. Ila kunguni babaaa. Nilitoka na mbegu nilipokuwa boarding shule, nikaipeleka home bila kujijua. Aiseee mbona home walikiona cha mtema kuni. Heheheee.

Achana na hawa jamaa. Hawa jamaa ni sugu sijapata ona. Hawafi kizembezembe. Wanazaliana balaa. Ile mbegu nadhani ilikuwa ni hybrid, maana si kwa kuzaliana kule.

Halafu hawana jike wala dume hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom