Dah usiku mwema Witness sie bado tunapuyanga mtaani na kesho kazini pia
Ameen! Wewe ndiye Mwizi kiwango cha lami, waliopita walikuwa vibaka. Jambazi mstaafu unaonaje ukitusaidia kueleza kuhusu hiyo dawa wanayopuliza ili tuweze kujikinga na hapo ubate upako mtakatifu kwa damu ya Yesu, Allelluya...Kama kuna anayekaa kwa msuguri na alipohamia kwenye nyumba yake mpya alivamiwa na vibaka sugu wenye vishoka, nondo na mapanga na ukapigwa mabapa sana ukakombwa vitu vya thamani mwaka 1997.
Kama wewe mwaka 1998 ulipuliziwa ukalala fofofo sinza mitaa ya meeda ukakombwa vitu hadi kuvuliwa pete za ndoa
Kama wewe mwaka 1998 uliporwa gari likakutwa limekongololewa nyuma ya mororgoro store
Hahahahaa wote nawapa pole sana nampenda Yesu haleluyaaaa
Simpo sana. Ni chlorofoam inapatikana kwenye mabohari ya dawa na mahospitalini.Ameen! Wewe ndiye Mwizi kiwango cha lami, waliopita walikuwa vibaka. Jambazi mstaafu unaonaje ukitusaidia kueleza kuhusu hiyo dawa wanayopuliza ili tuweze kujikinga na hapo ubate upako mtakatifu kwa damu ya Yesu, Allelluya...
Ubarikiwe saana, na uondolewe dhambi zako zote kwa jina la Yesu aliye HAI!Simpo sana. Ni chlorofoam inapatikana kwenye mabohari ya dawa na mahospitalini.
Kujikinga lala na beseni lenye maji au hata kikombe ili ukipuliziwa yale maji yatanyonya ile sumu ya usingizi na hutadhurika kwa lolote wakijaribu kuvunja tu unaamka na kupambana.
Hahaha, wewe ulikuwa jambazi mkazi.Kama kuna anayekaa kwa msuguri na alipohamia kwenye nyumba yake mpya alivamiwa na vibaka sugu wenye vishoka, nondo na mapanga na ukapigwa mabapa sana ukakombwa vitu vya thamani mwaka 1997.
Kama wewe mwaka 1998 ulipuliziwa ukalala fofofo sinza mitaa ya meeda ukakombwa vitu hadi kuvuliwa pete za ndoa
Kama wewe mwaka 1998 uliporwa gari likakutwa limekongololewa nyuma ya mororgoro store
Hahahahaa wote nawapa pole sana nampenda Yesu haleluyaaaa
Hahahaha..!!princemikazo, wewe ni mtoto wa kibaka.
duuh wewe ulikuwa balaaKama kuna anayekaa kwa msuguri na alipohamia kwenye nyumba yake mpya alivamiwa na vibaka sugu wenye vishoka, nondo na mapanga na ukapigwa mabapa sana ukakombwa vitu vya thamani mwaka 1997.
Kama wewe mwaka 1998 ulipuliziwa ukalala fofofo sinza mitaa ya meeda ukakombwa vitu hadi kuvuliwa pete za ndoa
Kama wewe mwaka 1998 uliporwa gari likakutwa limekongololewa nyuma ya mororgoro store
Hahahahaa wote nawapa pole sana nampenda Yesu haleluyaaaa
Uwe unaweka ndoo ya maji iwe na maji usiifunike iache waziAmeen! Wewe ndiye Mwizi kiwango cha lami, waliopita walikuwa vibaka. Jambazi mstaafu unaonaje ukitusaidia kueleza kuhusu hiyo dawa wanayopuliza ili tuweze kujikinga na hapo ubate upako mtakatifu kwa damu ya Yesu, Allelluya...
MdokoziNakumbuka Mwaka 2016 nikiwa Form Four nilienda na Kalamu moja tu Class lakini nilirudi home na pen kama 10 hivi na sikununua,Je mimi ni nani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi kuna jamaa mmoja wa Kisukuma tupo boarding school basi Mshua wake akampigia akawa anamtajia namba za vocha ,kwenye double decker niko zangu juu naingiza tu ,nikamaliza then nikazima simu nikajifanya nakoroma,kipindi hicho line haisajiliwi wala nini
Kuweka kwenye simu yake nasikia kilio tu vocha imetumika
Kuanzia siku hiyo akajifunza kuacha show off za kiduanzi eti wakishua basi dingi anamtumia vocha kila mtu ajue
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbe kuna wauaji humuNakumbuka 2006 , Mwanza Mjimwema jirani yetu police hadi leo hajui kama miongoni mwa waliomvamia usiku hadi akasabibisha afuge mbwa mm ni mmoja wapo wakati tunatoka kwake baada ya kukosa tukawa tunarudi kupitia njia ya kuelekea Mkombozi tukakutana na mzee mmoja anaitwa Ramso anatuuliza nasikia kelele watu wanaita wezi wezi bila kujua kua sie ndio wezi tukamwambia wameelekea huku chini twende nae akatufuata nakumbuka nilimpiga panga la nyuma ya shingo hadi leo ana alama nikiiona hua naumia saana maana niliokoka baada ya kumpenda bint mlokole,hilo ni moja kati ya matukio niliofanya
Sent using Jamii Forums mobile app