Tuliowahi kuwa vibaka au majambazi tukutane hapa

Sikuwa mwizi wala kibaka LAKINI nishavunja sana Watoto vijana mikono,kuwatoa meno na kuwayumbisha taya.
Yaani mtaani kwetu nilikuwa Kubwa la maadui Yaani nikisikia kuna mtu ameonewa na nunua kesi kwisha kazi.Jaribio langu la mwisho nilimkamata jamaa mmoja koromeo niliona anaanza kugalagala kama anakata roho.Hapo ndiyo ukawa mwisho wangu kugawa kipigo mpaka leo (uzuri jamaa alizinduka baada ya kupelekwa Zahanati).Mpaka leo we are good friend na huyo jamaa yangu.Nashukuru Mungu kuniepushia na Mkono wa kuendelea kupigana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna anayekaa kwa msuguri na alipohamia kwenye nyumba yake mpya alivamiwa na vibaka sugu wenye vishoka, nondo na mapanga na ukapigwa mabapa sana ukakombwa vitu vya thamani mwaka 1997.

Kama wewe mwaka 1998 ulipuliziwa ukalala fofofo sinza mitaa ya meeda ukakombwa vitu hadi kuvuliwa pete za ndoa

Kama wewe mwaka 1998 uliporwa gari likakutwa limekongololewa nyuma ya mororgoro store

Hahahahaa wote nawapa pole sana nampenda Yesu haleluyaaaa
 
Ameen! Wewe ndiye Mwizi kiwango cha lami, waliopita walikuwa vibaka. Jambazi mstaafu unaonaje ukitusaidia kueleza kuhusu hiyo dawa wanayopuliza ili tuweze kujikinga na hapo ubate upako mtakatifu kwa damu ya Yesu, Allelluya...
 
Simpo sana. Ni chlorofoam inapatikana kwenye mabohari ya dawa na mahospitalini.

Kujikinga lala na beseni lenye maji au hata kikombe ili ukipuliziwa yale maji yatanyonya ile sumu ya usingizi na hutadhurika kwa lolote wakijaribu kuvunja tu unaamka na kupambana.
 
Ubarikiwe saana, na uondolewe dhambi zako zote kwa jina la Yesu aliye HAI!
 
Nakumbuka Mwaka 2016 nikiwa Form Four nilienda na Kalamu moja tu Class lakini nilirudi home na pen kama 10 hivi na sikununua,Je mimi ni nani?
 
Kama kuna anayekaa kwa msuguri na alipohamia kwenye nyumba yake mpya alivamiwa na vibaka sugu wenye vishoka, nondo na mapanga na ukapigwa mabapa sana ukakombwa vitu vya thamani mwaka 1997.

Kama wewe mwaka 1998 ulipuliziwa ukalala fofofo sinza mitaa ya meeda ukakombwa vitu hadi kuvuliwa pete za ndoa

Kama wewe mwaka 1998 uliporwa gari likakutwa limekongololewa nyuma ya mororgoro store

Hahahahaa wote nawapa pole sana nampenda Yesu haleluyaaaa
Hahaha, wewe ulikuwa jambazi mkazi.
 
duuh wewe ulikuwa balaa
 
Ameen! Wewe ndiye Mwizi kiwango cha lami, waliopita walikuwa vibaka. Jambazi mstaafu unaonaje ukitusaidia kueleza kuhusu hiyo dawa wanayopuliza ili tuweze kujikinga na hapo ubate upako mtakatifu kwa damu ya Yesu, Allelluya...
Uwe unaweka ndoo ya maji iwe na maji usiifunike iache wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna jamaa mmoja wa Kisukuma tupo boarding school basi Mshua wake akampigia akawa anamtajia namba za vocha ,kwenye double decker niko zangu juu naingiza tu ,nikamaliza then nikazima simu nikajifanya nakoroma,kipindi hicho line haisajiliwi wala nini

Kuweka kwenye simu yake nasikia kilio tu vocha imetumika

Kuanzia siku hiyo akajifunza kuacha show off za kiduanzi eti wakishua basi dingi anamtumia vocha kila mtu ajue

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakumbuka 2006 , Mwanza Mjimwema jirani yetu police hadi leo hajui kama miongoni mwa waliomvamia usiku hadi akasabibisha afuge mbwa mm ni mmoja wapo wakati tunatoka kwake baada ya kukosa tukawa tunarudi kupitia njia ya kuelekea Mkombozi tukakutana na mzee mmoja anaitwa Ramso anatuuliza nasikia kelele watu wanaita wezi wezi bila kujua kua sie ndio wezi tukamwambia wameelekea huku chini twende nae akatufuata nakumbuka nilimpiga panga la nyuma ya shingo hadi leo ana alama nikiiona hua naumia saana maana niliokoka baada ya kumpenda bint mlokole,hilo ni moja kati ya matukio niliofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbe kuna wauaji humu
 
Back
Top Bottom