Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Pole sana mkuu kwa hio ikawaje baada ya hapo ulibadirishiwa dozi au?Badala ya 1*2
Akanipa 2*1
Nami nkameza nkidhani dozi imebadilika.kumbuka wao ndo wanasimamia dawa za wagonjwa,humezi mwenyewe wanakuletea on time umeze,asubuhi wanapita,mchana,na usiku wanapita.
Mi nkameza bwana.baada ya masaa machache nlihisi Dunia kama inaelea kwenye maji,lile jengo linaelea,mwili wangu unaelea,mpaka ubongo.na hivi kula nlikua nachelewa,nliisoma namba
Muhimbili hiyo!
Pole sana mkuu hii ilikua ni hatari kweli kweliNlienda kupma nkaambiwa na marelia nkachukua Alu zile dawa mseto za marelia na panado nkanywa 4 usku ile asubh nkanywa saa kumi na mbil v4 tena nkarud kulala kuja kuamka saa mbil nkasahau kama nlkunywa nkavuta vingne 4 nkameza ndan ya nusu saaa nkaanza kuona kama mambo hayako sawa kizungu zungu miguu inakosa nguvu naskia kama magoti yanaliwa na mchwa naona kama ndan giza linaingia nkasema hii dawa itakua kal au marelia imepanda zaid nkamwta dogo em niesabie hizo dawa akaniulza ulianza lin nkamwambia jana usku sasa mbona zshatumika 12 apo ndio kchwa klpata moto akakimbilia maziwa fasta m najitapsha wap yanatoka maji tu nkapewa maziwa na kupelekwa hsptal nkapewa ktanda na drp nkazima mpaka saa tatu usku ndio nakuja kuznduka njaaa hata.. kimsng uspopta msaada wa haraka unakata moto
Hapa umeniacha mkuu kichwa km kichwa au kichwa kipi mkuu?Niliweka mafuta kwenye kichwa chote Nika weka na lemba la maana nikalitunza siku nzima.
Nilikaa week sihisi kama Nina kidudu .Show zote hola ganzi ilivyo isha nikasema sitaki mbivu hizi.
Ni KIDONGE cha mafua au kifua kinauzwa KIDONGE kimoja 500, hio dawa ina nguvu sio kawaida yaan ukinywa hapo hapo inaanza kufanya kazi hapo hapo ninapokwambia kifua kikibana na nikihisi km nashindwa kupumua nikichukua kimoja tu nikaanza kumung'unya kifua kinaacha kubana na naanza kupumua vizuri tu, maduka mengi ya pharmacy huwezi kukikuta ni duka hilo tu ndio analetaga, kuna siku moja nilienda nikakuta vimeisha zunguka pharmacy zote hawana na hawaijui kabisaHicho kidonge kinaitwaje Mkuu?
Kwanza ulipima kabla ya kutumia dawa?
KitajeNi KIDONGE cha mafua au kifua kinauzwa KIDONGE kimoja 500, hio dawa ina nguvu sio kawaida yaan ukinywa hapo hapo inaanza kufanya kazi hapo hapo ninapokwambia kifua kikibana na nikihisi km nashindwa kupumua nikichukua kimoja tu nikaanza kumung'unya kifua kinaacha kubana na naanza kupumua vizuri tu, maduka mengi ya pharmacy huwezi kukikuta ni duka hilo tu ndio analetaga, kuna siku moja nilienda nikakuta vimeisha zunguka pharmacy zote hawana na hawaijui kabisa
Mkuu hujui una vichwa viwili.Hapa umeniacha mkuu kichwa km kichwa au kichwa kipi mkuu?
Pole sana mkuu kweli ulipitia changamoto kuumwa jino ni changamoto kweli kweli unaweza ukawa unalia peke yako muda woteNilikuwa Nina gego la mwisho linaota huku likisukuma meno mengine. Kwa yale maumivu sikuweza kula Wala kuongea . So ili niweze kula nilikuwa ninakunywa diclopar 2 . So Kwa siku nilikunywa diclopar 2 asubuhi, 2 mchana 2 jioni. Na hata nilipong'oa jino niliendelea kunywa diclopar. Hiyo constipation niliyoipata aisee kama vile sijawahi kunywa maji tangu nizaliwe. Namshukuru Mungu nilipona.
Au Fanya 3x2=6Ukitaka kujua maelekezo ya daktari yana maana we fanya 2×3 ni sawa na 3×2 yatakukuta